Meneja kampeni: Lowassa atashinda kwa asilimia 82

Meneja kampeni: Lowassa atashinda kwa asilimia 82

Angesema asilimia 100 kabisa ili manyumbu mjipe kick za mwisho. Ila huyo fisadi hapati hata asilimia 10.
Pete yake ya kichawi inawavuta mazuzu kwenye mikutano lakini haina nguvu juu ya masanduku ya kura

Sawa juma mwapachu tumekusikia
 
Mbona ndogo sana? 82% tu?

Hahahaa kamanda! Hio ni baada ya wizi wa waziwazi ile wanaita.. Daytime armed robbery..ya KURA millioni 6 kutoka vituo feki elfu 7,na kuchangiwa na watu kuto kukubaliwa kukaa mita 200 ilioruhusiwa kisheria,mawakala wasaliti wa UKAWA, ALAMA ya tiki kuhamia upande wa chama kijani
 
Hivi ndugu, hizo milioni 398 Si zingeweza kusaidia hata kule hospitalini maana madawa hamna na mambo ya msingi watu wanayakosa huduma za kijamii.
Hivi tujiulize hao wanaopata hapo milioni100, wengine 21 ni kutokana kwa kipi haswa walichokifanya mpana wapaye pesa zote hizo?? Haya ni matumizi mabaya ya pesa zetu sisi wananchi.. mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko Mungu aisaidie nchi yetu.

Kwani UKAWA si wanatumia mabilioni kufanya kampeni ili waingie ikulu.... Mbona hawajawahi kujenga hata choo kama wasamaria wemae
 
Kweli, maana wengi ndani ya CCM watampigia lowassa. Maana walichukia sana alivyokatwa
 
luwasa anajua hapendwi, anajua mafuriko yake ya kutengeneza sio uhalisia kwamba anapendwa, hafikishi hata asilimia 40%

Leo nasikia Magufuli yuko Mwanza.
Je unalijua agizo alilolitoa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa Wakuu wa Shule za Jijini Mwanza?
Fatilia ujue then uje unipe jibu je kati ya CCM na CDM ni nani wanatengeneza Mafuriko ya wahudhuriaji kwenye Mikutano.
 
Mimi ninacho amini ni kwamba Lowassa atashinda kwa 85%
 
Magufuli raisi makini na mpenda maendeleo, ccm hoyee kwa kutuletea mchapa kazi magufuli na kutuondolea mafisadi kina luwasa
 
Meneja kampeni usitake kutuhujumu, lowasa hawezi shinda kwa chini ya 90%. Tunakuamini Edo
 
Siku zote Mungu ana nguvu kuliko shetani. Huyo anaepanga kuiba kura ni wazi kuwa anaongozwa na shetani na huyo anaepanga kuzilinda kura anaongozwa na Mungu. Mungu ni mshindi siku zote.
 
Siku zote Mungu ana nguvu kuliko shetani. Huyo anaepanga kuiba kura ni wazi kuwa anaongozwa na shetani na huyo anaepanga kuzilinda kura anaongozwa na Mungu. Mungu ni mshindi siku zote.
Naona unaleta ulokole kwenye uchaguzi unakemea mapepo.
 
Meneja kampeni wa CHADEMA Bwana Mrema, amesema mpaka leo wanauhakika Lowasa atashinda kwa asilimia 82.Wanatarajia asilimia hizo kuongezeka watakapo malizia kampeni mkoani Mbeya.

Source; ITV habari

Kama watalinda kura wasibweteke
 
Chacha chochote kitakachoshinda kiuhalali haitakuwa zaidi ya 55%
 
Back
Top Bottom