Meneja kampeni: Lowassa atashinda kwa asilimia 82

Meneja kampeni: Lowassa atashinda kwa asilimia 82

Ujinga kweli eti %82! Maharage na mawese ya kigoma yana wasumbuwa sana.

Hapa kazi tu ushindi niwetu
 
Ata ningejua Mimi ningesema ivyo kumtetea kibarua na mirija ya fweza niendelee hutililika.
Yeyote atakayeshinda hawezi zidi 60%
 
Meneja kampeni wa CHADEMA Bwana Mrema, amesema mpaka leo wanauhakika Lowasa atashinda kwa asilimia 82.Wanatarajia asilimia hizo kuongezeka watakapo malizia kampeni mkoani Mbeya.

Source; ITV habari

hahahahahahaha... hizo bangi wanazovuta kabla ya kutoa haya matamko zitakuwa na kiwango cha hali ya juu
 
Meneja kampeni wa CHADEMA Bwana Mrema, amesema mpaka leo wanauhakika Lowasa atashinda kwa asilimia 82.Wanatarajia asilimia hizo kuongezeka watakapo malizia kampeni mkoani Mbeya.

Source; ITV habari
Yuko sahihi sana .
 
luwasa anajua hapendwi, anajua mafuriko yake ya kutengeneza sio uhalisia kwamba anapendwa, hafikishi hata asilimia 40%

"Huyu naye aliyeandika hapa kama ni mwanadamu basi ni wakupimwa akili asije akawa na matatizo ya mtindio wa ubongo halafu tukabaki tunamlaumu bure...nyamaza halafu tukutane tar 25 Oct ili dozi (dose) ikuingie vizuri yumkini utapona hako kaugonjwa..."
 
Meneja kampeni wa CHADEMA Bwana Mrema, amesema mpaka leo wanauhakika Lowasa atashinda kwa asilimia 82.Wanatarajia asilimia hizo kuongezeka watakapo malizia kampeni mkoani Mbeya.

Source; ITV habari

Maana yake ni hii. kati ya mali alizonazo lowasa 82% ni za wizi, na kati kazi alizowahi kufanya serikalini 82% ya kazi yakei ni alikuwa akipiga madili ktk mali za umma. hivyo basai hafai hata kiduchu kuwa rais
 
Huu ni ushabiki, kwa ujumla namba zote wanazojaribu kutoa sasa ni makadirio kadri mtu alivyoichunguza hali halisi. Na kwenye makadirio huwezi kuwa na 'precision' kwa sababu hujatumia 'quantifiable primary data', unapoona mtu anakuja na precision ya 82, 68, 69.5 etc. unajua ni hisia tu. Unapokadiria unaweza kuongelea 'order of magnitue' labda 60s, 70s, 80s etc. Ninapata shaka sana kwenye takwimu za aina hii. Tunajua ushindi kwa UKAWA ni jambo wazi, lakini unapotoa takwimu zenye walakini, inatutia mashaka na umakini wa mtu anayetoa.
 
piiiiiiiiiiiiipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz hatujui kusoma namba tunajua kupiga tiki kwa lowassa na wana ukawa wote popete walipo
 
piiiiiiiiiiiiipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz hatujui kusoma namba tunajua kupiga tiki kwa lowassa na wana ukawa wote popote walipo
 
Amekosea sio 82% ni 92%

maana vijijini ukiuliza kati ya watu 10 watu 9 ni Lowassa.
 
Back
Top Bottom