Tayari anakibindoni asilimia 82% ndio raisi ajayeluwasa kashashindwa mapemaaa
Meneja kampeni wa CHADEMA Bwana Mrema, amesema mpaka leo wanauhakika Lowasa atashinda kwa asilimia 82.Wanatarajia asilimia hizo kuongezeka watakapo malizia kampeni mkoani Mbeya.
Source; ITV habari
Meneja kampeni MREMA hawa watu hatari sana kupewa nchiMeneja kampeni wa CHADEMA Bwana Mrema, amesema mpaka leo wanauhakika Lowasa atashinda kwa asilimia 82.Wanatarajia asilimia hizo kuongezeka watakapo malizia kampeni mkoani Mbeya.
Source; ITV habari
hahahahahahaha... hizo bangi wanazovuta kabla ya kutoa haya matamko zitakuwa na kiwango cha hali ya juu
luwasa anajua hapendwi, anajua mafuriko yake ya kutengeneza sio uhalisia kwamba anapendwa, hafikishi hata asilimia 40%
Lowassa Itilima kaambiwa atapata kura lakini mgombea wa Chadema hawampi kura
na hizo ndio gharama za fiesta hadi sasa kule upande wa pili, na bado wanafikiria kuongeza wanenguaji wa Koffi Olomide kutoka Congo waje kukata mauno siku za mwisho za kampeni!
View attachment 299583
kitengo cha IT Masaki
Kwa uhuni aliofanyiwa bwana makondo na viongozi wa jimbo, mkoa na kanda hats ofisi ya katibu mkuu nawaunga mkono wananchi wa itilima ila maombi yangu kwao ni kumpigia Kura nyingi bwana makondo huko huko alipo ndiyo fadhira zetu kwake kwa kukijenga Chama mwa gharama kubwa halafu wahuni wanne wakabadilisha matokeo baada ya kupewa rushwa kubwa na mgombea wa ccm.