Meneja Canavaro akubali kufukuzwa na Zahera,asema wataondoka wengi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,209
103,789
58373043_609932122808225_5001577544625946624_n.jpg
 
Hiyo siyo kweli Mimi mwana Yanga hiyo gem lazima kufungwa kwani hatuna uwezo wa kushindana na Simba kwa sasa.
ZAhera anaujanja fulani kama alioutumia kwa Beno ili Kindoki apate nafasi ya kucheza.
Subiri mapovu yaje ya kuambiwa wewe si Mwana yanga halisi,ni shabiki Wa simba wewe.....
 
Mimi ni shabiki wa Yanga, ila kuna wakati hata mimi huwa simuelewi kocha Mwinyi Zahera. Amekuwa ni mkurupukaji sana kwenye baadhi ya mambo. Huwa anakosa kabisa ule uwezo wa kujizuia kutoa baadhi ya matamshi na maamuzi yenye utata. Nadhani anastahili kubadilika kama kweli anapenda kuendelea kubakia Yanga.
 
Mkuu Kuna nafasi imetangazwa Yanga mtoa Habari Kwenye JF unaonaje ukiomba? Maana kwa siku kutengeneza nyuzi zaidi ya mbili kuhusu Yanga bila malipo haipendezi.
 
Kwa Nini Aende Kwa Mo Kisirisiri Bila Kuujulisha Uongozi? Huyu Aliuza Mechi
Heee kwa hiyo akitaka kwenda kwa MO aite waandishi wa habari?? Haya Canavaro anasemekana alienda mtafutia kazi mke wake hilo nalo hadi awajulishe??
 
Back
Top Bottom