Jonathan Naaman
Member
- Nov 20, 2016
- 11
- 5
Salamu Watanzani naomba tusome andiko hili kutoka katika Biblia . Daniel 5 : 19-21 na mstari wa 25 hadi 28.
Na kwa sababu ya ule ukuu aliompa , watu wa kabila zote , na mataifa , na lugha , wakatetemeka na kuogopa mbele yake ; aliyetaka kumwua alimwua ; na aliyetaka kumwacha hai , alimwacha hai ; aliyetaka kumtukuza , alimtukuza ; na aliyetaka kumshusha , alimshusha . Lakini moyo wake ulipoinuliwa , na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi , aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi , nao wakamwondolea utukufu wake . Akafukuzwa mbali na wanadamu moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama , na makao yake yalikuwa pamoja na punda - mwitu ; akalishwa majani kama ng'ombe , mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbinguni ; hata alipojua ya kuwa Mungu aliye juu ndiye anayewatawala katika ufalme wa wanadamu , na yakuwa umweka juu yake yeye amtakaye , awaye yote.
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya ; MENE , MENE , TEKELI NA PERESI . Na tafsiri ya maneno haya ni hii ; MENE , Mungu ameuhesabu Ufalme wako na kuokomesha . TEKELI , umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka . PERESI , ufalme wako umegawanyika , na wamepewa Wamedi na Waajemi .
Nami binafsi nashukuru sana kuona maandiko yanatimia!! Ni kutimia huku kwa maandiko; ndiko wale wenye macho na hawaoni na wana masikio lakini hawasiki; hatimae wataanza kuona wazi wazi "Malaika" akianza kunywa damu za kondoo wa Bwana!!!
Si wote walishaona ukuu aliopewa ameanza kuutumia kuua kwa aliyemtaka na kumwacha hai yule aliyemtaka!! Lakini taratibu, kadri siku zinavyoenda, maandiko yanaaza kudhihiri hata miongoni mwa wale wenye masikio ambao walishindwa kusikia kwa kipindi kirefu au wale wenye macho na kushindwa kuona!!!
Huyu Mtoto pekee ndio muujiza mkuu tulioletewa wanadamu ili hatimae vipofu waweze kuona na viziwi kusikia!!
Kwa utawala huu ni ngumuYani kuna mambo mawili muhimu sn kuyapigania kwa nguvu zote,
1.Katiba mpya ya Warioba.
2.Tume huru
nchi ipo gizaniSalamu Watanzani naomba tusome andiko hili kutoka katika Biblia . Daniel 5 : 19-21 na mstari wa 25 hadi 28.
Na kwa sababu ya ule ukuu aliompa , watu wa kabila zote , na mataifa , na lugha , wakatetemeka na kuogopa mbele yake ; aliyetaka kumwua alimwua ; na aliyetaka kumwacha hai , alimwacha hai ; aliyetaka kumtukuza , alimtukuza ; na aliyetaka kumshusha , alimshusha . Lakini moyo wake ulipoinuliwa , na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi , aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi , nao wakamwondolea utukufu wake . Akafukuzwa mbali na wanadamu moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama , na makao yake yalikuwa pamoja na punda - mwitu ; akalishwa majani kama ng'ombe , mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbinguni ; hata alipojua ya kuwa Mungu aliye juu ndiye anayewatawala katika ufalme wa wanadamu , na yakuwa umweka juu yake yeye amtakaye , awaye yote.
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya ; MENE , MENE , TEKELI NA PERESI . Na tafsiri ya maneno haya ni hii ; MENE , Mungu ameuhesabu Ufalme wako na kuokomesha . TEKELI , umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka . PERESI , ufalme wako umegawanyika , na wamepewa Wamedi na Waajemi .
Wengi mliobaki kumsapoti ni kwasababu ya ukanda/ukabila. Maana nilimpigia kura, ila kwa akili ya kawaida ni ngumu kusapoti anayofanya.not necessarily, Waisrael ni taifa la Mungu, na walikaa utumwani Misri kwa miaka 400!.
Paskali
Nape , karibu Chadema tufanye kazi yenye nia njema kwa Taifa.
Hata Tanzania ni taifa la Mungu na hatujawahi kutoka utumwani hivyo nadhani huu sasa ndio wakati wa majilio. Mungu anaweza kumuinua dictator ili watu wake wawe huru, kwa jinsi ileile alivyomuinua Farao ili kuwakomboa wana wa Israel kutoka utumwani Misri!not necessarily, Waisrael ni taifa la Mungu, na walikaa utumwani Misri kwa miaka 400!.
Paskali
ungeacha kwanza kugombana na meya wako Lazaro mpaka hamsalimianiSalamu Watanzani naomba tusome andiko hili kutoka katika Biblia . Daniel 5 : 19-21 na mstari wa 25 hadi 28.
Na kwa sababu ya ule ukuu aliompa , watu wa kabila zote , na mataifa , na lugha , wakatetemeka na kuogopa mbele yake ; aliyetaka kumwua alimwua ; na aliyetaka kumwacha hai , alimwacha hai ; aliyetaka kumtukuza , alimtukuza ; na aliyetaka kumshusha , alimshusha . Lakini moyo wake ulipoinuliwa , na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi , aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi , nao wakamwondolea utukufu wake . Akafukuzwa mbali na wanadamu moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama , na makao yake yalikuwa pamoja na punda - mwitu ; akalishwa majani kama ng'ombe , mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbinguni ; hata alipojua ya kuwa Mungu aliye juu ndiye anayewatawala katika ufalme wa wanadamu , na yakuwa umweka juu yake yeye amtakaye , awaye yote.
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya ; MENE , MENE , TEKELI NA PERESI . Na tafsiri ya maneno haya ni hii ; MENE , Mungu ameuhesabu Ufalme wako na kuokomesha . TEKELI , umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka . PERESI , ufalme wako umegawanyika , na wamepewa Wamedi na Waajemi .
Mubasharaaaaaaaaaaa.ukifuga nyoka andaa na rungu.sisi marungu yetu ni kadi zetu za mpiga kura muacheni ajitutumue sisi ni rungu moko tu 2020Salamu Watanzani naomba tusome andiko hili kutoka katika Biblia . Daniel 5 : 19-21 na mstari wa 25 hadi 28.