Mheikungu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2018
- 215
- 451
Kwa siku kadhaa tumeshuhudia vita inayoendelea toka kwa Dr. Bashiru Ally ambaye ni katibu mkuu wa chama tawala. Kimantiki nimeona kwamba haikuwa sahihi kwa doctor ambaye naamini amejaa weledi wa hali ya juu ingawa sasa naanza kupata mashaka na weledi huu.
Huu naona kwamba ni ufalme uliofitinika kama wa mfalme Nebuchadrees ambapo baada ya kujisifu sana na kufanya makufuru mengi, Mungu alimuonya kwa kiganja cha mkono kilichoandika maneno hayo hapo juu yakiwa na maana kuwa
Ufalme wako umepimwa nao umeonekana kwamba umepungua.
Baada ya tukio hili mfalme alihamishwa na Mungu akiwa kama mnyama akaishi porini kwa miaka saba akila majani kama ng'ombe.
Kama chama hakijafitinika basi Dr angetafuta namba ya simu ya Membe kama kweli yeye hana na busara kidogo tu hapa ingetumika wangeyamaliza kimyakimya huko chumbani.
Let's be alert lakini hii vita sio ya kitoto.
Asomaye na afahamu