Mende aonekana kwenye screen ya TV

For sure jf is really funny you can't even quite for a while without laughing
 
Hizo bangi za kuvutia chooni acha kwa ushauri tembelea milembe.
 
atakua muigizaji huyo kakimbia kwenye scene mkamate mpeleke steps
 
lukelo sakafu uwe makini unapoisogelea hiyo kitu. Vaa nguo muda wote asee
 
Last edited by a moderator:
MpWaaa puliziA Tv Doom unAeza kuTa kuNa kunGuni pia kWenYe deki hiyo.
 
Ohh, si zinazaa hizo TV na Deki na hao ndiyo watoto wake, sasa watunze wakikuwa na wao watazaa deki na TV zingine.

Hahaa... Faizafoxy unanifuraha mie... Akili za abunuwas hizo au zako ila ni za usiku!!?😂😂😁😁😁😀😀😀😀😁😁😁😁😁😁😁☺☺☺☺
 
Unapokutana na thread kama JF ndipo unapohisi kuwa viazi si lazima vilimwe shambani, hata huku JF vipo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…