Mende 114

Mende 114

Kwayu

Platinum Member
Joined
Nov 8, 2007
Posts
511
Reaction score
108
Habarini wapendwa. Nataka kununua Mende scania 114 ya kibebea michanga. Je inalipa. Naombeni ushauri wenu ili nijue la kufanya.
 
mi nikajua hawa mende wa ukweli aka coakroaches, duh nilifikiri nshapata dili kwani hao wamejaa tel tele
 
mi nikajua hawa mende wa ukweli aka coakroaches, duh nilifikiri nshapata dili kwani hao wamejaa tel tele

mi pia nilijua jamaa labda anafanya utafiti anahitaji tumkusanyie mende 114 daah kumbe gari!!
 
Inategemea mkoa ganiunaishi ili uweze kujua kama linafaa kutumia au lah, mikoa ingine hiyo gari haifai maana ni nzito sana, ingekuwa ni vyema utaje mkoa mwenye uelewa na mkoa husika akusaidie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom