Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Jamani kwa mara ya kwanza nimekuwa menager toka leo, naomba mnipongeze. Kumbe umenager auitaji madigree elimu yangu ya darasa la saba leo nawaongoza watu.
Karibuni sana, nimekuwa manager wa Bar ya .... Sasa hapa nakitafuta kitambi tu.
Karibuni sana, nimekuwa manager wa Bar ya .... Sasa hapa nakitafuta kitambi tu.