Kamzidi kitambi hadi bosi wake!..anatakiwa atuhumiwe huyu!Hivi huyo wa katikati ndo nani vile?
Kamzidi kitambi hadi bosi wake!..anatakiwa atuhumiwe huyu!
Kuna nn kipya?? tumezoea kijani na njano bana!!
Tusubirie si si je??????
kweli ni mijitambi tuu hakuna jipya wamezowea kula vya wizi.Mhh mie nimeona vitambi tu!