Jambo zuri ni kusaidiana sio mke akiwa mambo safi basi agharamie kila kitu km ndo amekuoa.na ww mwanaume ujiongeze kumtoa out kumletelea vizawadi ili ukifika wkt ujilipe wa kujilipa ujilipe bila dem kushtukia
Ndo hvy km upo kimaslahi.ila km unampenda utamhurumia kwa kumshauri mfanye mambo y maana kwa ajili yenu wote na watoto.umeshasema bila demu kuahtukia means hampendani unachina tu future plan wife should know reality of your life because ia pary of it. ukiona kuna kitu hapaswi ashtukie ujue unapita tu tangaza unajiuza ijulikane.
Ha ha ha na hela ikichelewa kurudi ujumbe ataukuta whatsapp kwenye status lol
Pia uelewa unahitajika jamani....akunyimae hakwambii hapana....ukiona ni mwisho wa mwezi na bado unaniomba hela nakupa viexcuse wewe elewa kuwa nishakunyima....mtu unamwambia "aisee mi mwenyewe hela iko tight ila kuna mtu namdai ngoja nimkumbushe anilipe"..anaulizia kila dakika, "vipi amelipa?"...kulipa huko vepeee?...ndo nishakataa....halafu unasema una emergency lakini wiki nzima uko kuulizia mkopo. Emergency gani hiyo...