Yaani hizi Kazi ndio siwezagi, yaani natembea nawaza kuficha kitu hata amani na akili haiwezi tulia.Chepuka muda wa kazi(working hrs)mainly kabla ya saa 5 asubuh maana mamaa anajua upo job kukusumbua ni ngumu..simu yako block call ambazo hujazisave kwenye simu yako kwa maana namba ya mchepuko huisevu na ukitoka job una block new call number..kwishney[View attachment 1695434
Yaani hizi Kazi ndio siwezagi, yaani natembea nawaza kuficha kitu hata amani na akili haiwezi tulia.
Bora nisiwe na mchepuko niishi kwa Amani. Si vyote vizuri vitakua vyako, vingine vya wenzio tusiwe walafi kupindukia.Kupanga ni kuchagua acha open mchepuko utume sms ya kizushi wife wako aione muamze vikao na wazee..[emoji2377]
Bora nisiwe na mchepuko niishi kwa Amani. Si vyote vizuri vitakua vyako, vingine vya wenzio tusiwe walafi kupindukia.
Hiyo siku ikifika nitakuwa nishaachana na michepuko, maana nilikuwa njiani kutafuta Mathna ila mchumba kazingua!Tabu yote ya nini?? Siku moja utakamatwa tu
Nikweli but... wengine wanashangaa Wewe kushangaa wao kuwa na Wanawake nje ya ndoa zao...
Yaaani Ni Kama wamehalalisha hivi
Mie nina mchepuko wangu upo dsm .! Nashukuru hauna usumbufu nauvutia muda nije nitafute ka safari ka uongo na kweli nikamkunje kisawa sawa!
Ile kumsukumia motooo haswaaa.
Sorry, nimeenda nje ya Maada [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nirejee kwenye maada! Eeebhana Mchepuko ni lazima afuate utaratibu. Nikiwa home namtumia text niko home! So No calls, No text, No Whatsapp text! Mbona amani sana.
Siku ya kwanza nilimuweka kati nikawa sijamwambia kuwa naishi na Mtu (Mke wangu) so mimi ndio nikajichanganya nikawa nimempigia na akakuta missed calls si akanipigia wakati inaita Mke wangu akaipokea simu alfu demu nilikuwa Nimemsevu ila yeye aliposikia sauti ya mwanamke akajiongeza kasema amekosea namba! Mke wangu akauwasha moto [emoji16][emoji16][emoji16]!
Akaniuliza mbona anasema amekosea namba wakati namba iko saved! Ila nilimbembeleza akanielewa na Bahati mbaya tu alikuwa Period ningepiga kimoja cha make up [emoji12]
Mimi mwaka huu nimedhamilia kuto kuchepuka kabisa Mungu anisaidie sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mchepuko ulijiongeza kukuokoa, hata hivyo mkeo sio mfuatiliaji sana. Mi wife hata angejibiwa hivyo angefuatilia kimya kimya kwa mda wake aje anishike red-handed sema nna machale sio ya nchi hii mara nyingi nakuaga mbele ya muda
Mbona wanawake hawaleti mbinu zao za kuificha michepuko yao tuone wanaume mimacho itakavyowatoka
Wanakariri mbinu za vitaKuna watu watazima hapa [emoji28][emoji23][emoji23]
Sasa unakuwa nayo ya nini kama ni kazi huwa handle 🙄🙄Huyo ni pro mkuu.
Nimekutana na Unskilled one, nikatumia skills zote kumpagawisha, Arooo Arooo simu haziishi now nimeblock. Na Anajua kuwa Nimeoa.
Nawaambia Tena wake zetu hakuna kazi ngumu kama kuhandle michepuko.
Hiyo page inatisha sana.[emoji23][emoji23][emoji23]Hebu tembelea page ya rosemary mzizi plz
Jifunge kibwebwe ndoa inahitaji uwe na kg za kutosha
Kwakwel, ikifika stage ya wanaolia huko kwa rosemary mzizi inabidi mwanamke akubaliane na hali , kua hiyo ndoa ndio basi. InasikitishaWanawake mnalia ndoa zimewashinda si muachike ya Nini kukomaa na ndoa ambayo haikupi Amani
Mnataka kufurahisha jamii..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni raha sana kama Mchepuko ukijua una Mke!
Ila balaa ukiwa na Mchepuko afu ukauficha kuwa una Mke!
Sometimes una kutana na Pisi ya moto ila ina conditions nyoko, na hili muende sawa lazima uioneshe upo single ndio utakula chakula[emoji1] otherwise endelea na shughuli zako.
Hapo sasa ndio shida na tabu zinapo anzia na wengi wao hizo Pisi ni Wanafunzi wa vyuo,Maofisini.
Ila zile za mtaani cha muhimu ujue kuhudumia na kutuma visenti senti aaah wala hamna tabu hata ukiiblock itasubiri ui unblock...
Ila hizo za juu maweee ukitaka uikose jidai una mke nyumbani
MIE NI PRO, NA ONE OF MY CONDITIONS HUWA SINA TIME NA KU DATE NA AMATEUR MF: STUDENTS,NA VITOTO VYA MAOFISINI...NIKIINGIA LINE ZAO BASI NAPIGA SIKU MBILI TATU BUT SIKU ZINAZO FUATA NAMTAFUTIA SABABU AU MKASA THEN NDIO FOREVER!!