Men Talk 3: Mwanaume usizae na mchepuko

Mi niseme tu.
Napenda sana aina yako ya kufikiri.

Reasoning yako huwa nakuelewa mpk dah!!
 
Mmoja tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jack wangu..

Huyu muanzisha mada Kuna Uzi tulikuwa tunacheza movie
Acha kuchepuka mara moja kabla sijascreenshot na kupost kwenye uzi wa selfie braza angu Jack aone..sawa?
 
Acha kuchepuka mara moja kabla sijascreenshot na kupost kwenye uzi wa selfie braza angu Jack aone..sawa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaka yako anajua kabisa kuwa napachikwa majina humu na watu..
Ila anajua jinsi ninavyompenda na nilivyo mwaminifu..
I love that man acha kabisa [emoji2960], tena ile bahati inaweza mdondokea.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]mbona huu mwandiko kama naujua
Anyway hii mada wacha niwe msomaji maana inanigusa kunako nisije kujiharibia siku bure[emoji854]
 
Picha
 
Natamani ushee kidogo stori yako jamani[emoji23]

Ukweli ni kwamba hapa watajikaza tu kukataa lakini alichoongea mtoa mada ni Cha kweli kabisa na anajua anachokiongea maana naye yupo kwenye hilo kundi[emoji1787](samahani Analyse[emoji4][emoji120])
 
Siku nikipata nguvu nitalielezea hili
Maana kwa sasa nimelitoa akilini ili lisinisumbue kichwa
Ila huko mbeleni nitalirudia
Nawaza kama mimi linanisumbua hivi je baba muhusika mkuu sipati picha anapitia hali gani
So sad
 
Elezea hata kidogo best..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…