Kweli jamani tuwe wakweli!Miaka 3 ni sawa na siku 1095. Wakuu ivi kweli inawezekana hii kitu, na kila siku ukipita kitaa unaona vitu tofauti, dah!Mi nadhani its not possible.
1. Kama unacharge na ni mzima wa afya ni ngumu sana hiyo maana mwili hufanya kazi yake kama kawaida.
2. Gari ulipaki kwa miaka mitatu bila kulistua stua bado unasema una gari? hapo lazima injini iharibike.Haifai tena.
3. Watu wa dizaini hii ni wataalamu wa kujichua.....daily yupo busy na.......
4. Labda uwe mtu wa mazoezi sana au upigwe sindano ya.........hapo mambo yatatulia. Vinginevyo.....
NI NGUMU SANA.
inawezekana mimi ni mmoja wao nimesha kaa porini miaka minne bila hilo tendo ila chupi na mashuka huchafuka mara kwa mara .kazi ngumu na mazoezi is daily formula .
1. Kama unacharge na ni mzima wa afya ni ngumu sana hiyo maana mwili hufanya kazi yake kama kawaida.
2. Gari ulipaki kwa miaka mitatu bila kulistua stua bado unasema una gari? hapo lazima injini iharibike.Haifai tena.
3. Watu wa dizaini hii ni wataalamu wa kujichua.....daily yupo busy na.......
4. Labda uwe mtu wa mazoezi sana au upigwe sindano ya.........hapo mambo yatatulia. Vinginevyo.....
NI NGUMU SANA.
Aaaaah wapi haiwezekani kabisa, anayesema anaweza atakuwa na matatizo huyo , mwanaume rijali haswa akae miaka mitatu atakuwa gonjwa si buree! labda akae bila ya kula kwa kipindi chote hicho, jamani nasema labda miezi 3 tena kwa mbinde