MEN!...LET'S BE SERIOUS JAMANI!this is not right,nor it is okay

Kimsingi mimi watu kama hao huwa nawachukulia kama wenye upungufu vichwani mwao coz mtu timamu kichwani huwezi kukaa kijiweni unapoteza muda wako kuelezea jinsi gani unam-do your wife........it is disgusting aargh!!!!!!!!!!!

Bahati mbaya iliyoje kundi kubwa sana la wanaume tunatanatabia hii; sijui ni part ya show off ya our libido ama ni ushamba hata sijui!
 
Swala la ngono bana linapo ingia kwenye akili za mwanadamu yaani ni natural na hasa ukisha piga pegi ya ulanzi mweh
 
Bahati mbaya iliyoje kundi kubwa sana la wanaume tunatanatabia hii; sijui ni part ya show off ya our libido ama ni ushamba hata sijui!

aaah bora mmeliona hilo, yaani kuna siku moja kam wiki mbili zilizopita, mibaba umri sawa na mzazi wangu, nina uhakika walikuwa sober kabisa, sitted next to the table I was bila aibu yanajadili utamu wa mahawara zao walolala nao

...''yule mwanaidi wala sio mtamu nakwambia ile mima****ko bure tu, we mtokee akikubali utakuja kuniambia..."
yaani jamani nilijiikia aibu kw aniaba yao, na mipete yao mikubwa ya ndoa vidoleni!!! afu ni wakuja kuja dizaini sijui wametoka kwenu MJ??? samahani kama utakwazika darling!!!!
 
afu ni wakuja kuja dizaini sijui wametoka kwenu MJ??? samahani kama utakwazika darling!!!!

Sishangai! wala sikwaziki kuwa na amani

Unajua ukikulia kule kwetu miaka ile old skul walikuwa bize sana na kusoshalaizi ilikuwa kitu adimu hata mashuleni sasa ndio matokeo yake na ukichukulia wako pwani tena! Ni ushamba tu!
 
Geoff umenikumbusha kulikuwa na friend wake Ex wangu yeye alikuwaga anasimulia kila mdada anayetoka naye - eti kwa huyu najiexpress na katu siwezitoka na mwanamke asiyeniruhusu kujiexpress- sasa ameoa na he used to say (enzi za urafiki na aliyekuja kuwa mkewe) she is more than I can imagine yaani ni kujiexpress kwa kwenda mbele na yeye anaenjoy- siku hizi sijui hata wako wapi!!
 
hahahahaha!..MBAYA SANA HIYO MPWA

kuna jibaba moja lilikuwa linajisifia namna linavyomkunja mkewe
''...YAANI MIMI,AAH!...mke wangu namshughulikia kwelikweli hadi anatoa MBOJI...,namkojolea machoni,usoni,mdomoni,kwenye nywele,puani n.k...,yaani mke wangu bwana mashine yake MAJI TUPU...''

ILIBIDI NIMWAGE BIA YANGU NA KUSEPA KIMYA KIMYA....!

huu ni udhalilishaji (hasa kwa tuliooa,ndo tunaumia sana)
 
AH huyu ni punguani kichwani hakuna kitu. Ameniudhi hata mimi.

Kuna alosema kuwa hata wanawake wanatabia ya kusema ya chumbani mwao .. hebu wenye ushahidi tupeni maana nisibishe kwa kuwa tu sijawahiona au sikia. Mwanamke mwenye staha kweli ukae unasimulia unavyokunjwa au unavyompaisha mfalme wako sirini???
 
Hii ni Tabia mbaya ambayo mie huwa naishangaa sana ..Ni kwa nini mke uliyempenda na kuamua kushare nae maisha till death unamwanika nje bila hata aibu.
Ila sidhani kama mwanaume mwenye kuelewa na mwenye upendo hawezi kuongea huu upuuzi
Ni kero
 
''...YAANI MIMI,AAH!...mke wangu namshughulikia kwelikweli hadi anatoa MBOJI...,namkojolea machoni,usoni,mdomoni,kwenye nywele,puani n.k...,yaani mke wangu bwana mashine yake MAJI TUPU...''

Jibaba linadhalilisha taasisi takatifu??? Hakustahili kuwa enrolled katika taasisi ya ndoa.
 
kuna watu washenzi sana.....!
mi sijawahi kuacha bia baa kabisa.....
 
hahahahaha!..MBAYA SANA HIYO MPWA

kuna jibaba moja lilikuwa linajisifia namna linavyomkunja mkewe
''...YAANI MIMI,AAH!...mke wangu namshughulikia kwelikweli hadi anatoa MBOJI...,namkojolea machoni,usoni,mdomoni,kwenye nywele,puani n.k...,yaani mke wangu bwana mashine yake MAJI TUPU...''

ILIBIDI NIMWAGE BIA YANGU NA KUSEPA KIMYA KIMYA....!

huu ni udhalilishaji (hasa kwa tuliooa,ndo tunaumia sana)

Kwani G huezi mwambia kuwa unachoongea hakifai au atakuona unaingilia uhuru wake wa kusema??? au unampa the bad arse look on your face anakusoma hapo hapo ananyamaza.
 
Kuna jamaa huwa tukitoka Ku-Gida akirudi home ananipigia simu eti nimtongozee Mke wake...kwani anamnyima.... inabidi... kwani jamaa anakaribia kulia.... Mimi huwa namkaripia huyo Mama... "Mpe mtoto..." Mpe mtoto...." "Mpe mtoto..." Mpe mtoto...." "Mpe mtoto..." Mpe mtoto...." "Mpe mtoto..." Mpe mtoto...." "Mpe mtoto..." Mpe mtoto...."
 
Kwani G huezi mwambia kuwa unachoongea hakifai au atakuona unaingilia uhuru wake wa kusema??? au unampa the bad arse look on your face anakusoma hapo hapo ananyamaza.
unajua mijitu mingine bana........
mvi kibao kichwani...........
bonge la kitambi..........
lakini inaongea MASHUDU......
unaiacha hivyo hivyo
 
na ndio gia inawasaidiaga pia kuwapata hao mahawara....tabia mbaya sana hiyo, mie nawakataga nishai kweli hapa ofcn unakuta mtu anamueezea galfrnd wake in/out...nawakimbizaga na stori za kijinga.
unafanya la maana sana Nyamayao wamezidi kutuvua nguo bwana mtu unatembea umevaa kumbe uko uchi
 
Kuna jamaa mmoja alimpataga bibi yake (mpenziwe) hospital yaani jamaa alikuwa ni sijui dr ule sijui medical attendant hata sijui but mdada huyo alikuwa mgonjwa kendapima akakutwa na VDRL sasa katika matibabu jamaa akaingiza gia ikakubaliwa basi alivyokuwa wa ajabu mkaka yule anasimuliaga walivyokutana yaani anaweka wazi kuwa alikuwa na gono bana but ah amepona kabisa- yaani group lake lote wanajua mdada alikuwaga na gono! Ah huwa anabore.
 
AH huyu ni punguani kichwani hakuna kitu. Ameniudhi hata mimi.

Kuna alosema kuwa hata wanawake wanatabia ya kusema ya chumbani mwao .. hebu wenye ushahidi tupeni maana nisibishe kwa kuwa tu sijawahiona au sikia. Mwanamke mwenye staha kweli ukae unasimulia unavyokunjwa au unavyompaisha mfalme wako sirini???

Wapo sana na bahati mbaya moja alikuwa dada yangu na mwingine GF wangu; basi ukishuka style huku anasimuliwa sista kule! Nilikuja gundua siku GF akajisahau akanipa style ambyo alinambia sista alimpasha kuwa iko njema! Nikapiga chini mzigo na kumakanya sister kuwa na mazoea hayo na kuacha tabia hiyo ni mwiko!
 
Kuna jamaa mmoja alimpataga bibi yake (mpenziwe) hospital yaani jamaa alikuwa ni sijui dr ule sijui medical attendant hata sijui but mdada huyo alikuwa mgonjwa kendapima akakutwa na VDRL sasa katika matibabu jamaa akaingiza gia ikakubaliwa basi alivyokuwa wa ajabu mkaka yule anasimuliaga walivyokutana yaani anaweka wazi kuwa alikuwa na gono bana but ah amepona kabisa- yaani group lake lote wanajua mdada alikuwaga na gono! Ah huwa anabore.
hehehehe!
this is even WORSE......
dah!
GONOREA...!hahahahahahahah
ngoja nikacheke vizuri nje bana
hahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
 
Back
Top Bottom