Hahahaha ukanikumbusha kuna mtu mmoja ivi allipata ajali kisha haya mambo anadrive huku ana watch X kwa gari hahahahahah alijikuta mataroni ati
1. kwani papuchi au dushe vina plate number,nauliza hivyo kwa sababu mfano kaituma mtandaoni watu watajua vipi kama ni ya fulani?
2. Sababu ya watu kutumiana hizo picha huwa ni nini hasa?
3. kuna wengine zinakutwa mitandaono si picha tu hata movie yenyewe ilivyofanyika, baadae mtu anajitetea kuwa ali recordiwa na mpenzi wake?
but kalio ni kalio tuu,,,, kila mmoja analo,,,,kikubwa ni kutokutumiana hizo vitu....kama ni asali wako, mwambie njoo uone live hapa,,,baaaaass,,,,, kutumiana huko ndo mnaishia kudhalilishana,,, na jinsia KE ndo inaadhirika zaidi,,,, sababu unadhalilisha na KE wenzio.
Huna hiyo tabia ya kukosea...hiyo sio tabia yako miss chagga . I love you saaaaaanaaa
Huna hiyo tabia ya kukosea...hiyo sio tabia yako miss chagga . I love you saaaaaanaaa
hapa pembeni yangu kuna mtu kasema, et demu wako akikataa kukutumia picha ya papuchi yake ujue papuchi ina madonda....
ila mwenye papuchi smart lazima atume tu....
The siredi is soo hot!!!!!!!
habari zenu za asubuhi wapendwa wangu.....
katika kutafakari sana nimejikuta nawaza haya
kuna baadhi ya mambo unakutana nayo katika mahusiano, hasa pale yanapokuwa moto moto kuna vitu huwa tunafanya kujitoa akili kwa kuwa moyo umezama au kumshawishi mwenzio ili aone upo pamoja naye..... ila katika kufanya hayo mambo wakati mapenzi yanaelekea sa kumi jion yani mahaba ni mtafutano unakuta yale mambo yanaonekana kama ni fimbo ya kutuchapia hasa kwa upande wa wanawake... ila leo nitazungumzia zaidi kwenye kutumiana picha za utupu kwa wapenzi ...
katika kipengele hiki wanaume ni wepesi sana kutuma madushe yao hata kukuonyesha live madushe yao...... sasa mwanaume anapojiachia kutuma dushe llake basi hapo unakuta na mwanamke kwa kuwa kapenda anaamua kutuma papuchi yake, nyonyo yake kwa ampendaye .... kinachonifanya nione kuwa hatupo fair hasa upande wa me ni pale wawili hawa watakogombana mwanaume anaamua kutumia zile picha kusamabaza na hata kumwona malaya hafai na a lot of bla bla.....
mimi nimekuja na suluhuu ya hili mwanume akikuomba picha ya papauchi mwambie atume picha ya kalio lake in details...... akiomba picha ya nyonyo mwambie atume na yeye dushe...... nasema hivi ili mwisho wa siku tuheshimiane jamani... wanaume wepesi sana kutuma madushe yao ni kama kawaida.......
mkigombana MWANAUME AKISAMBAZA PAPUCHI ... NA MWANAMKE UNASAMBAZA KALIO LAKE ...... Hapo mambo yanakuwa ngoma drooo..................
samahani kama nitakuwa nimekosea ila naonea huruma sana wanawake na vibinti wanaodhalilishwa kwa sababu ya penzi....
nawapenda wote siku njema
hapa pembeni yangu kuna mtu kasema, et demu wako akikataa kukutumia picha ya papuchi yake ujue papuchi ina madonda....
ila mwenye papuchi smart lazima atume tu....
sasa miss chaga, we endelea kukataa kutuma tu....ha ha ha haha ha hapo cha cha
Yani katika vitu ambavyo hata kuviwaza siviwezi ni kutuma picha ya papuchi yangu, what for? Papuchi zenyewe zilivyo na sura ya ajabu mmh hapana kwa kweli, na hata zingekuwa nzuri kama tausi, why umtumie mtu picha ya maungo yako ya siri? Kesho zikivujishwa mtandaoni tunaanza kulia lia oooh kanidhalilisha eeeeh jamani wewe wakati unamtumia hizo picha hukujia kama unajidhalilisha? Tuache ujinga wa kujifanya tuna mahaba niue
kwanini USISHAURI WASITUMIANE TU HIZO PICHA ZA KIPUUZI......????!!!! mnagegedana kila siku halafu mnatumiana picha za vigegedio vyenu kwani huwa mnafunga vitambaa machoni mkiwa mnagegedana???!!!!!!!!
sasa kuona papuchi ya demu wako mpaka akutumie picha??? hivi neno demu wako lina maaana tofauti na ninayoijua???!!
Balaa huko barabarani kila mtu na lake analowaza