Men lets be fair kwa kweli

watu wawili waliopendana acha kabisa hauwezi kuwapangia misingi ya kufuata, mwanamume mwenye kumdhalilisha mpenzi wake wa zamani ni mvulana tuhajafikia umri wa uanaume. unapokuwa na mahusiano na mtu mnakuwa tied, unapomdhalilisha kisa mmeachana ni kujidhalilisha wewe, watu wanavyoona dhalili ile wanasema "yule si dem wa flani yule"! ukiona maex wanadhalilishana ujue ni watoto tu.
 

Asante umenena vyema
 

kwani madushe na mapapuchi yana sura yake? Wewe ukituma papuchi bila sura yako hata akipost mitandao yote nani atajua hili ni papuchi la m2 fulani? I mean ukituma in full body, ndo inaweza kuwa hivo. Ila hv unawezaje kujipiga picha kuanzia kichwan hadi miguuni ulenge maeneo fulani ukiwa plain?
 

Sijui wanafayaje kwa kweli
 

watu kama hawa tuwafanyeje mkuu?
 
coz hata kama ukiset camera bado haiwezi kutoka vizuri. Ila wewe inakuwaje unasimama necked ili upigwe picha? 4what? Mengine ni kujitakia coz hii ya kupiga full body ni hadi upigwe.

Ni kweli mahaba niue watu wanafanya wewe acha kabisa
 
Hakika Mimi kwenye hili nitaoneka mshamba na nimepitwa na wakati!

Mimi mtu anayefanya hayo kwangu ni mtu mwenye utindio wa ubongo kabisa!
Na mtu wa hivi hawezi kuona tatizo kujiuza!

Hili kwangu silichukulii kama swala la umri swala la tatizo la kichwa na chili huwakumba wasichana wengi!Mtu anayeshindwa kujua kwanini hizo tupu zimevishwa nguo ni wazi ana utindio wa ubongo!

Uzuri haya mambo wanafanyiana wanao fanana....
 
Na kuna wengine huwa wanaibiwa za kwao bila ya kujijua na kuanza kurushiana kisha kusambaa, simu hizi ukizitumia vibaya na zenyewe zinakutenda
 

Mambo mengine naweza sema ni utoto na ujinga (ukosefu wa busara). Niliwahi kuwa na mwanamke flan for like 3+ years tulipendana haijawahi tokea tena but unfortunately tulikuja zinguana tuka break up and i felt really hurt at tha time bila kusahau nilikua na picha zake kibao za utupu. Aliniumiza sanaaa i felt like hakuna sabab tena ya kuishi. Lakini hata siku moja sikuzivujisha zile picha or anything like that, nliendelea kutunza heshima yake. Nacho amini mtu ukimpenda kwa dhati huwez fanya vitu kama hvyo. After three years of breakin up alinitafuta na kuniomba msamaha, i did forgive her cz najua siku zote Mungu hafungui milango yako ya mafanikio kama na ww umewafungia wengine. Since then i've been happy with another woman upto date.
 

Good boy that is love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…