UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,316
Warren Buffet alipata kusema ''It takes twenty years to build reputation but it takes a second to ruin your reputation''. Then unakutana na mwanamke ambaye atakukuta unapigania hiki na kile kwa miaka zaidi ya 20, lakini within a second!
Kama Gwajima na mlinzi wake walisema ukweli basi usiombe kukutana naye mwanamke ambaye|
1.| Anakufanya utelekeze mke wako wa kwanza
2.| Anakufanya ukosane na chama chako
3.| Anakufanya uache kazi ya chama chako
4.| Anakufanya ukosane na viongozi wa dini
5.| Anakufanya ukosane na jamii pana ya watanzania
6.| Anakufanya ukosane na wakwe na ndugu wa mke wako wa kwanza
7.| Yeye mwenyewe alikuwa mke wa mtu kamwacha mumewe
8.| Anakufanya uwatelekeza watoto wako wa kuwazaa
9.| Anakufanya haiba yako kuwa chakavu na ya kuchukiza ghafla
10.|Anakufanya upuuzwe na kudharaulika japo uliheshimika sana
11.| Anakufanya ukosane na viongozi wako wa chama
12.| Anakufanya ukosane na watu waliokuunga mkono miaka yako yote ya harakati zako
Men, be very careful!