Men at work! Wanaume kazini

Kazi ni kazi mkuu ilimradi usivunje sheria.
 
Manicure na pedicure

Kulikuwa na ulazima wa kuwa na viboksa hao wanaume?? Pamoja ya kwamba ni mchoro, ila nina uhakika hivi vitu vipo. Kuanzia leo na mpaka nitakapooa, mpenzi, mke wangu ni MARUFUKU kwenda beauty parlour zinazotoa huduma za manicure na pedicure. Hizo njemba ziko kwenye 'stand by mode' mazee.
 
Kuna ulazima wa mimi kujifunza kufanya pedicure na manicure........kumbe fulsa zinanipita hivi hivi...
 

Hahahahaaa nimecheka sana eti njemba ziko kwenye stanby mode duuh. Btw what the hell is manicure and pedicure?
 
Last edited by a moderator:
hivi ukifanya hii kazi lazima uvue nguo
 
Kuna kazi ni ngumu kwa kweli hasa pale jinsia mbili zisizofanana zinapokutana katika hali ya kimitego mitego kama hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…