MEN ARE SOO WEAK..........I'm loving it

MEN ARE SOO WEAK..........I'm loving it

CnaJina

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
468
Reaction score
84
Men are very weak, though they try to deny it, mwanamke akijua kujishusha na kumnyeyekea mwanaume basi anaweza kumuendesha jinsi atakavyo, jamani wadada mjue kubembeleza na kumuhudumia mtu wako kwa unyenyekevu make him feel in contol that way ull be the one controling him,,,, wazungu wanasema "the more a woman obeys the more she rules""


Nimemixx language cz kiingereza sio lugha yangu na kiswahili kimetoka bara

Nawasilisha Jamvini.........
 
Kuna ukweli kiasi flani katika hili lkn wengine hata wafanyiwe nini hawaridhiki. So hii formula hai apply kwa wote japo ni vizuri kujishusha na inapendeza kama unaweza.
 
Kwangu love and respect baaasi..
 
Mmmh.... Yaani hapa kuna mwanaume namnyenyekea mpaka nahisi kupata kichaa lakini hasomeki kabisaaaa.. Lol
 
Mmmh.... Yaani hapa kuna mwanaume namnyenyekea mpaka nahisi kupata kichaa lakini hasomeki kabisaaaa.. Lol



Ukiona hivyo ujue hakupendi,,lkn kama anakupenda lazma atasomeka tuu
 
Kuna ukweli kiasi flani katika hili lkn wengine hata wafanyiwe nini hawaridhiki. So hii formula hai apply kwa wote japo ni vizuri kujishusha na inapendeza kama unaweza.


Kama haridhiki, we mridhishe
 
Au ww huendeshwagi?? Unaeza ukakataa hapa lkn ukiwa ndani kwako ww.......!
nikiona mwanamke ile tu anataka kunipanda kichwani napiga chini , ni kosa kubwa sana kwa mwanamke ile kutaka kumpanda kichwani mwanaume. na ni zoba tu ataendelea kuwa na mwanamke wa staili hii.
 
nikiona mwanamke ile tu anataka kunipanda kichwani napiga chini , ni kosa kubwa sana kwa mwanamke ile kutaka kumpanda kichwani mwanaume. na ni zoba tu ataendelea kuwa na mwanamke wa staili hii.



Hujaelewa thread mkuu, hebu ipitie tena
 
Ni mwiko katk ukoo wetu mwanmke kumpanda kichwn mwanaume ikitokea kna dalili za namna hiyo bas napga chn faster kuondoa aibu na fedheha ktk ukoo
 
wanawake viherehere na makaidi huwa wanaharibu sana utamu wa mahusiano............
 
Back
Top Bottom