MEN ARE SOO WEAK..........I'm loving it

MEN ARE SOO WEAK..........I'm loving it

we are not so weak and you are not so strong either; there is the rule;(for men) all women needs love
(for women) all men needs respect. baaaasi hakuna uchawi, ukifanya kimojawapo kwa mwenzi wako umemmaliza.
 

kudekezwa mdekezwe nyie
si tukadeke wapi khaaaa,raha hata
sisi tunazitaka bana
 
nikiona mwanamke ile tu anataka kunipanda kichwani napiga chini , ni kosa kubwa sana kwa mwanamke ile kutaka kumpanda kichwani mwanaume. na ni zoba tu ataendelea kuwa na mwanamke wa staili hii.

mie nikiona mwanamme hasomeki napiga chini tena huwa namtema KIKATILI.
 
Men are very weak, though they try to deny it, mwanamke akijua kujishusha na kumnyeyekea mwanaume basi anaweza kumuendesha jinsi atakavyo, jamani wadada mjue kubembeleza na kumuhudumia mtu wako kwa unyenyekevu make him feel in contol that way ull be the one controling him,,,, wazungu wanasema "the more a woman obeys the more she rules""


Nimemixx language cz kiingereza sio lugha yangu na kiswahili kimetoka bara

Nawasilisha Jamvini.........

ni kweli kabisa unyenyekevu na kijishusha ni kitu muhimu sana hawa watu hawapendi kutawaliwa mpe uhuru wa kuwa kiongozi wakati wote.lakini kikubwa ni moyo wako kumpenda kwa dhati ,kusikilizana,heshima,jua thamani ya umpendae na neno samahani liwe jepesi mdomoni mwako.mambo yataenda muruaaaa
 
Mie na ujeuriii wangu duh
tunapelekeshana kirobotrobot tu,
dah kuna siku akaniambia wewe unanipelekesha na jeuri sababu upo na mimi lakini jua kuwa wanawake wanaotamani kuwa na mimi
 
Back
Top Bottom