Memory

Memory

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,778
Reaction score
2,052
20-04- 201...

It was a sad day, my Dad was gone. Historia kubwa kuliko kwenye Maisha yangu. my lovely Dad akifariki Kwa husda za binadamu, kwanini baba uliwapuuzia.

uliniacha kwenye kipindi kigumu sana Daima upo moyoni mwangu Baba yangu kipenzi na pengo lako ni kubwa mno.

vita umeniachia Mimi naelemewa baba

Nakumbuka sana Baba
Nakupenda Baba

Pumzika Kwa Amani Baba.
 
20-04- 2018

POLE BAHARIA
 
Mtoto wa baba. wengine hawaelewi how you feel kwa kuwa wanahisi baba hana thamani kama ya mama ila me nakuelewa kwa kuwa nimelelewa na baba, Pole mkuu
 
Japokuwa wengi hawatokubaliana na hichi
 
20-04- 201...

It was a sad day, my Dad was gone. Historia kubwa kuliko kwenye Maisha yangu. my lovely Dad akifariki Kwa husda za binadamu, kwanini baba uliwapuuzia.
uliniacha kwenye kipindi kigumu sana Daima upo moyoni mwangu Baba yangu kipenzi na pengo lako ni kubwa mno.
vita umeniachia Mimi naelemewa baba

Nakumbuka sana Baba
Nakupenda Baba

Pumzika Kwa Amani Baba.
Mungu atutie nguvu wote tuliopoteza mzazi au wazazi, kweli maumivu huwa hayaishi
 
So sorry to you.

Even in this age I missed wazazi wangu ile mbaya.

Always no replacement, sorry again m
 
Me machoz yangu kila siku ni kwa mama yangu... sikuwah kudhani mama yangu angeniacha mapema yote hii. Na kero zote hizi za dunia Leo sina pa kufafijiwa bila unafiki najifariji mwenyewe
Comment yako imenipa majonzi. Maskini njoo mama nikufariji ndugu yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom