Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,779
- 21,048
Ndio hali yangu kila sikuComment yako imenipa majonzi. Maskini njoo mama nikufariji ndugu yangu
Furaha kidogo majonzi na mawazo mengi...
Kwakweli sikuwahi kuwaza kama kweli angekufa hivi karibuni japo nlijua kifo kipo.
Jumamosi kuna mtu alinionea na kunishout sana bila sababu za msingi yaaani sijui hata niliwaza nini nikamkumbuka mama yangu kwamba angekuwepo tungeongeaaaa angenipozaa hadi niwe poa... ila ndo hvo hayupo tena....nililia siku nzima.