Memory card problem pls help me!!

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
213
hey jamani naomba mnisaidie memory card yangu ina vitu na inaonyesha ina vitu lkn nikiifungua inaonyesha ipo empyt tatito nini HELP plz
 
Kuna Memory Card feki nyingi sana siku hz ila nina uhakika Virus wanaweza wakawa ndo wanaichezea hy Memory Card
 
Jaribu kuweka kwenye cm nyingine uangalia kama itaendelea hivyo ujue unatakiwa kuifomat na kuanza upya ..
 
Back
Top Bottom