Of course kazi yangu itakua kuwasimamia woote hao...lol. Hivi Invisible yupo reliable? Tusije wahesabia hao Mods alafu ikala kwetu na hali tushapanga majukum....lol:ballchain:
aisee nilijua amepigwa bonge la ban maana ulivyoaanza lazima mtu ufe kwa presha khaaa..
Mi namuogopa Invisible... Ngoja tumuite Kipipi, anaweza saidia. What say you?
The Boss.....this name really suits you perfectly no one can dispute that....btw, I hope you have pampers on koz we wouldn't wish The Baby Boss to ruin things for us around here....🙂 you know how babies can be at times eeehhh!!
May I wish you a very happy birthday and blessed as always my Boss.....usininyime keki
thanks a lot JS..
thanks...karibuu..
hahahaha.... Hao Boss tayari all is sorted. Kongosho kagoma kufanya kazi yoyote ile...
anadai kua yeye atakua bodyguard wako siku hio. Saizi yupo kwa Mwanajamii one kuazima viwalo..lol
mmmmmhhhh kwa hiyo post kazi tunayo sasa tutaelewana vipi na Fang wakati mwenetu muda wote anatema mayai tu..
nitamuomba Invisible atuimbie Georgina aisee...lol
mwambie aanze kurekebisha koo lol
mmmmmhhhh kwa hiyo post kazi tunayo sasa tutaelewana vipi na Fang wakati mwenetu muda wote anatema mayai tu..
The Boss.....this name really suits you perfectly no one can dispute that....btw, I hope you have pampers on koz we wouldn't wish The Baby Boss to ruin things for us around here....🙂 you know how babies can be at times eeehhh!!
May I wish you a very happy birthday and blessed as always my Boss.....usininyime keki
Mkuu tutaelewana tu!
@Boss
A Birthday Wish to you.
halafu hii tabia ya kuazima viwalo nishawapiga marufuku lol
while nguo mpya hawazivai kabisaa lol
hebu waite fasta aisee lol
What is georgina? what is pesa kibao? nambieniiiiii. lol
JS you will be responsiple kuwapokea wageni na kuwapeleka seat zao... itabidi wengine utafute wa kukusaidia... Wise Lady, Mwanajamiione, LD hawana kazi...