kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
We Kyalankota, uishie humu na picha ukienda mitaani kutafuta "silimu nekwita"
Makitu kama haya yanataka uwe na leseni kubwa kuyaendesha...otherwise utaishia kulikokota tu.....
leseni c inahusika hapo...
ila nitamfunika uso mweh
Nyuma liko swaafi ila hapo mapokezi kama andazi la juzi!
Makitu kama haya yanataka uwe na leseni kubwa kuyaendesha...otherwise utaishia kulikokota tu.....
leseni c inahusika hapo...
Haswaaa.....tena C plain kabisa maana hiyo ni big truck....
Wenye leseni za hiyo midudu tunafaidi! Raha sana!
Nina shaka leseni yako ya vichochoroni...maana unaonyesha kabisa bado lena....
We we weeeee! Mkuu leseni yangu ni ya kimataifa tangu kitambo sana! Sichezi mbali na hii midudu aisee!
ila nitamfunika uso mweh
CHADEMA wangekuwa wameshika madaraka hawa wote wangekuwa wakuu wa wilaya!
Kama kweli una leseni ya haya madude...hebu lipige starter....