Members 'ninaowakubali' zaidi humu jf

Najikubali mwenyewe Numbisa
images(36).jpg
 
ONTARIO nmemkubali kwa kiasi chake maana kuna mada zake zimenigusa sana. Mkuu ONTARIO popote ulipo nmekuelewa hata mm. Unaweza kupangilia hoja zako. Sjakuweka katika list kwa sababu nmesoma mada zako tatu tu na bado nina mengi ya kujifunza kutoka kwako. Muda ukifka najua nitakupa heshima yako. Japo mpk sasa nmekuelewa na umenitia moyo sana Bado naendelea kukusoma.

Kuna huyu mdada anaitwa Heaven Sent huwa namuelewa sana. Anajua kutoa ushauri, kutia moyo na kufundisha neno la Mungu. Akiingia ktk mada inayohitaji ushauri huwa anaitendea haki.
Uuuh niseme nini mimi?... "Glory be to God".
 
Ha ha ha ! Mkuu kifaa ninachotumia kuingia jf hakinipi uhuru na nafasi ya kufanya mengi. Natumia Nokia Tochi
Poa mkuu sio vibaya mwenyezi mungu alituumba tuwe tofauti na ndio maana mambo yanaenda, hatuwezi kuwa na tabia sawa, huo ndio ubinadamu.
Sema tunajitahidi tu kupunguza kidogo kidogo isiwe extreme maisha yanaenda.
 
Back
Top Bottom