Members 'ninaowakubali' zaidi humu jf

Black fire

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
745
1,000
Heshima kwenu wakuu.

Kwa muda ambao nmekaa humu jf nmetokea kuwakubali zaidi baadhi ya watu na kutamani hata kuwafahamu nje ya Jf kutokana na michango na mada zao. Sio kwamba wengine siwakubali hapana. Ila hawa wafuatao nawakubali zaidi.

1. mshana jr : Huyu jamaa mwanzo nilkuwa namuogopa kwa kudhania labda ni mchawi ila sikukosa kufuatilia mada na michango yake. Kadiri siku zilivyosogea ndivyo nilivyoanza kumuelewa vizuri sana. Akiweka mada anaifuatilia mpaka mwisho na anajibu maswali ya wachangiaji bila kinyongo wala hasira.

Binafsi namshukuru sana maana nmewahi kuwasiliana nae nje ya jf na akanipa ushauri ambao ulinisaidia sana.Natamani siku moja nikutane nae ana kwa ana. Popote ulipo mshana jr pokea shukrani zangu.

2. The bold: Kati ya watu waliobarikiwa vipaji basi The Bold ni mmojawapo. Ana kipaji cha uandishi wa story na makala mbali mbali za kuvutia sana. Ni mtu ambae simuelewi elewi sana maana akianza masuala ya intelijensia ataandika utadhani alikuwepo wakati tukio linatokea. Huyu jamaa sjuhi ni mtafiti au vipi.

Natamani awe rafiki yangu hata tuwe tunawasiliana tu Namkubali sana hasa akianza masuala ya usalama ambayo huwa nayapenda toka utotoni. Kwahyo story zake huwa znanivutia sana.

3. Sky Eclat: Huyu nadhani ni mwanamama na fikra zangu ni mtu muelewa sana. Huyu nae huwa navutiwa sana na michango yake sana humu jukwaani. Naye natamani awe rafiki yangu.

Ni wengi 'ninaowakubali' lakini hawa ndo nawakubali zaidi kwa muda mrefu niliokaa jf. Huo ni mtazamo wangu kwa watu hao.

Km na ww una members unawakubali na kwanini unawakubali funguka hapa.
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
3,836
2,000

Hapo pa Mshana bigup sana mkuu hata me namkubali huyu kiumbe kwa threads zake zenye mantiki
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
14,608
2,000
Nawakubali member karibia wote, sema kila mmoja ana kuwa bora zaidi kwenye eneo au jukwaa flani. Inakuwa ngumu sana kutaja mmoja anaetosheleza kila idara. Ila nawakubali hao uliowataja
 
Black fire

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
745
1,000
Nawakubali member karibia wote, sema kila mmoja ana kuwa bora zaidi kwenye eneo au jukwaa flani. Inakuwa ngumu sana kutaja mmoja anaetosheleza kila idara. Ila nawakubali hao uliowataja
Hiyo ni kweli kabsa. Ndio maana mwshoni nikasema wapo wengi ila hao ni baadhi. Nadhan ata ww kuna baadhi ukikutana na michango yao unawakubalu sana.

Mfano mm nikiingia jf nikakutana na mada imeandikwa na mshana jr au The Bold lazma niisome
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom