Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,804
- 9,406
Sijawahi ufungua huo uzi ila huwa nauona unapepea sana nkajua wajuba huwa mnachangia sana humohuyo jamaa hajali mnasoma au hamsomi yeye anaandika tu
..................................
Sijawahi ufungua huo uzi ila huwa nauona unapepea sana nkajua wajuba huwa mnachangia sana humohuyo jamaa hajali mnasoma au hamsomi yeye anaandika tu
Kasahau kukuweka kwenye nyuzi za kumponda Nassibuaiseeeee
Kasahau kukuweka kwenye nyuzi za kumponda Nassibu
kush na Wisdom

sure mkuu Kweli kabisa😂😂😂😂😂😂huyu member @Robidinyo -nyuzi mbaya kuhusu diamond na WCB kwa ujumla
Ana nyuzi nyingi sana za namna hiyo huyu mshabiki wa mfalme juhaKweli kabisa![]()

Noma sana karibu comment 39k zote za mtu mmoja.
Sasa hivi kafungua mwingine anajicomentia tu wala hana habari.Noma sana karibu comment 39k zote za mtu mmoja.
hatar sanaSasa hivi kafungua mwingine anajicomentia tu wala hana habari.
Anaitwa Rutashubanyuma hakuna kiumbe kama yeye hapa jf, uzi wake una comments zaidi ya 4k alafu more than 90% ya comments ni zake.Kuna jamaa nimemsahau jina ana huo uzi wake karibia comments zote ni zake, anapost balaa![]()
Anajiongelesha mwenyewe.Anaitwa Rutashubanyuma hakuna kiumbe kama yeye hapa jf, uzi wake una comments zaidi ya 4k alafu more than 90% ya comments ni zake.
Yaani ile ni character ya aina yake walahAnaitwa Rutashubanyuma hakuna kiumbe kama yeye hapa jf, uzi wake una comments zaidi ya 4k alafu more than 90% ya comments ni zake.


