Member wa JF

Member wa JF

Bwanga

Member
Joined
May 26, 2010
Posts
46
Reaction score
6
Nimesoma threads kadhaa humu ndani na nimepigwa na butwaa kweli kweli, miongoni mwa zilizowahi kuniacha na mshangao ni threads kama:

1. Rafiki yangu kanitongoza (aliyeandika ni mwanaume)
2. Nina macho mazuri (pia mwanaume)
3. ......
4. ....

20. Mwingine alikuwa anatafuta kijana handsome wa kucheza strip dance ya watu watatu.

Na nyingine nyingi saaaaana ambazo walioandika wameji identify kama wanaume, lakini maelezo yao yanaacha mashaka kwamba watakuwa ni watoto wa watu wanaotafuta vidume vya kuwakabang humu JF.

Sitashangaa siku ukimtokea mtu ukijua ni dem afu ukakutana na mambo kama haya....

1011146_186742221489029_1965471284_n.jpg
 
^^
Bwanga } Buseresere { Buziku } Buzirayombo ...pengine wanafanya research
^^
 
Nimesoma threads kadhaa humu ndani na nimepigwa na butwaa kweli kweli, miongoni mwa zilizowahi kuniacha na mshangao ni threads kama:

1. Rafiki yangu kanitongoza (aliyeandika ni mwanaume)
2. Nina macho mazuri (pia mwanaume)
3. ......
4. ....

20. Mwingine alikuwa anatafuta kijana handsome wa kucheza strip dance ya watu watatu.

Na nyingine nyingi saaaaana ambazo walioandika wameji identify kama wanaume, lakini maelezo yao yanaacha mashaka kwamba watakuwa ni watoto wa watu wanaotafuta vidume vya kuwakabang humu JF.

Sitashangaa siku ukimtokea mtu ukijua ni dem afu ukakutana na mambo kama haya....

1011146_186742221489029_1965471284_n.jpg

mkuu hufaham kunawatu wanaamini mrengo wa kushoto?kumbuka bungeni palivyochimbika watu walipoguswa na mambo ya kuamini mrengo wa kushoto
 
Hivi unapata wapi motives za kumtokea mtu kwa kuwa tu wasoma maoni yake hapa jamvini?

(Based on your conclusion nadhani hilo ndio jambo lililokufanya uandike hii thread).
 
Inaonekana umemind mimi kuwakosoa watoto wa watu eeh, psychologically inafahamika mtu kitu kikimgusa ana respond vipi.

avatar23861_6.gif

Avatar yako inafanya niamini kabisa wewe ni wa mrengo wa kushoto.

Kwahiyo sishangai kukuona hivyo maana ni Liberal @work.

Endelea kusikilizia maumivu haya
hump.gif
halafu ukishapoa utaniambia.
 
Hivi unapata wapi motives za kumtokea mtu kwa kuwa tu wasoma maoni yake hapa jamvini?

Huyu jamaa inaonekana kashatokea mtu humu jamvini halafu akakuta ni DUME.

Tamaa ndo zimemponza "hata mtu hatapeliwi bila kutamanishwa".
 
Huyu jamaa inaonekana kashatokea mtu humu jamvini halafu akakuta ni DUME.

Tamaa ndo zimemponza "hata mtu hatapeliwi bila kutamanishwa".

Duuuh, mkuu mbona umeniandami niaje chalii angu?? Kwani haya niliyoandika hapa ni uongo??? tatizo ni nini hasa, maana sielewi source ya wewe kuniandama kwa kusema haya.
Kama nimekukwaza yaishe mzee.
 
hahahahaha ameweka mahips don't lie,sa kama wanaume wana mawips wanawake watakuwa na nini thatha.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom