Ni kweli mkuu, ila yeye mwenyewe ndiye aliyetoa taarifa hiyo ndo maana nikamuuliza maendeleo yake🙏kwani nani ambae ha countdown? Leo upo karibu zaidi na siku yako ya kuzikwa kuliko ilivyokua jana
Mko period kwani?Na ndiyo tunaopigania vijana mpate fulsa mbalimbali za kimaendeleo na kiuchumi chini ya Rais wetu kipenzi cha vijana Mama Samia Suluhu Hassani
Hiyo ni wewe mwaka 2016Wasukuma tupo wengi humu na id zipo nyingi na nyingine hazitumiki mkuu, chama changu kinanipa posho za kutosha na kinatoa fulsa nyingi sana kwa vijana kiuchumi🙏nitawatembelea huko siku moja niwape elimu ya fulsa za mama yetu kipenzi alizozitoa kwa vijana ili muondoke kwenye huo uraibu wa kubeti