MEMBER MPYA WA JF

MEMBER MPYA WA JF

Umejiunga lini kwani?

Afya yangu sio mbaya sana, naumwa lakini siumwi
Tiba nitaanza baada ya kupata majibu kwa mara ya pili
Mungu akusaidie mkuu Mimi nimejiunga Leo ili kumtetea mama SSH kwa wale wanaotaka aende mahakamani

Vipi una kadi ya uanachama wa CCM katika kumuunga mkono Mama kwa maendeleo ya nchi anayoyafanya na kuwaunganisha pamoja vijana?
 
Kwa majina naitwa Msukuma mzaliwa wa Chato jirani kabisa na kwa hayati JPM pia ni mwanachama hai wa CHAMA CHA MAPINDUZI chini ya Mwenyekiti wetu Pendwa na raisi kipenzi cha Watanzania mama Samia Suluhu Hassan....Naomba mnipokee🙏
Alie kuelekeza njia ndo kakuelekeza uku kiongozi
Huon Kam umepotea njia mkuu
 
Wewe kweli ni Msukuma
Mkuu una taarifa kuwa tunaongeza wanachama wapya kujiunga na chama chetu Bora na chenye viongozi wenye weredi mpana na maono dhabiti ya kimaendeleo kwa JAMII?? Basi nakuomba tembelea tawi lolote la chama cha mapinduzi lililopo karibu na wewe ili ujiunge
 
Alie kuelekeza njia ndo kakuelekeza uku kiongozi
Huon Kam umepotea njia mkuu
Mkuu tupo katika mchakato wa kuongeza wanachama wapya katika chama chetu Bora cha mapinduzi kipenzi cha wananchi na vijana je upo tayari kupata kadi yako?
 
Mungu akusaidie mkuu Mimi nimejiunga Leo ili kumtetea mama SSH kwa wale wanaotaka aende mahakamani

Vipi una kadi ya uanachama wa CCM katika kumuunga mkono Mama kwa maendeleo ya nchi anayoyafanya na kuwaunganisha pamoja vijana?
 

Attachments

  • Screenshot_20260821-230008 (2).jpg
    Screenshot_20260821-230008 (2).jpg
    184.7 KB · Views: 1
Mzee baba kwenye uzi wa kubet ulikuwa haukosekani miaka ya nyuma
 
Msukuma unatupigia kelele na huo mwandiko wako wa kubold
Mkuu kwani upo tayari Tundu tumnyonge kwa kutokumheshimu mama na mamlaka yake ambayo hata kwenye vitabu vya dini vinasema?? Ebu chukua kadi yako ya uanachama kwanza
 

Attachments

  • IMG_20260821_170521~2.jpg
    IMG_20260821_170521~2.jpg
    627 KB · Views: 1
Mzee baba kwenye uzi wa kubet ulikuwa haukosekani miaka ya nyuma
Wasukuma tupo wengi humu na id zipo nyingi na nyingine hazitumiki mkuu, chama changu kinanipa posho za kutosha na kinatoa fulsa nyingi sana kwa vijana kiuchumi🙏nitawatembelea huko siku moja niwape elimu ya fulsa za mama yetu kipenzi alizozitoa kwa vijana ili muondoke kwenye huo uraibu wa kubeti
 
Back
Top Bottom