Member mpya, package za kutosha za nyimbo

Member mpya, package za kutosha za nyimbo

Yesu Anajibu Songs

New Member
Joined
Jul 8, 2026
Posts
2
Reaction score
3
Ebhana eee! Je, wewe ni mpenzi wa mziki mzuri wa injili?

Kama jibu lako kwa swali hapo juu ni ndiyo, Yesu Anajibu Songs tunapenda kukualika uambatane nasi katika mfululizo wa nyimbo zenye ujumbe wa tumaini, faraja na imani katika Yesu Kristo.

karibu tuimbe, tuabudu na tumtukuze bwana pamoja.

MOTTO: TUMAINI | IMANI | UKWELI
 
Asante...

Karibu sana JamiiForums...
 
Back
Top Bottom