Member Mpya Kada Kindakindaki wa CCM Anajitambulisha Hapa

Joined
Sep 14, 2024
Posts
37
Reaction score
63
CCM oyeee!!

Samia juuuu!!

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

..!!

Naitwa Paul John.

MwanaCCM nayejua thamani ya Utawala wa Mama Dokta Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ya nchi yetu.

Kazi Iendelee ..!!
 
Umri wako utakuwa unacheza kwenye 55 na kuendelea uwezi kuwa kijana kuanzia early 1980’s ukawa CCM.
 
Sema machawa mpo wengi mpaka mama anawadharau. Sa itakuwaje
 
Aibu Kubwa Sana Hii Taifa Limepata Hasara
 
Ni faida kubwa kijana unapotambua mchango wa mama katika maendeleo chanya ya nchi yetu. Vijana tambueni ninyi ndio wanufaika wakubwa wa juhudi za mama kuijenga nchi yetu kiuchumi na kisiasa
 
CCM oyeee!!

Samia juuuu!!

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

..!!

Naitwa Paul John.

MwanaCCM nayejua thamani ya Utawala wa Mama Dokta Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ya nchi yetu.

Kazi Iendelee ..!!
Lete namba ya kadi.
 
CCM oyeee!!

Samia juuuu!!

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

..!!

Naitwa Paul John.

MwanaCCM nayejua thamani ya Utawala wa Mama Dokta Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ya nchi yetu.

Kazi Iendelee ..!!
Member Mpya Kada Kindakindaki wa CCM Anajitambulisha Hapa

Marekebisho
Kwenye member weka "Chawa"
 
Nikupe taatifa tuu kuwa chawa wamejaa wamebaki Kunguni na Panya.We unakaa wapi
 
CCM oyeee!!

Samia juuuu!!

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

..!!

Naitwa Paul John.

MwanaCCM nayejua thamani ya Utawala wa Mama Dokta Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ya nchi yetu.

Kazi Iendelee ..!!
Bila aibu unajitambulisha weka na namba yako ya kadi
 
Back
Top Bottom