Nchi inazidi kuwa ngumu sana hii.Mtoto wa kiume Ume Anza mambo gani haya shekhe?
Mimi nilipata siku 2 tuKua senior au expert ni kigezo gani?
View attachment 3327178
Zamani watu walisotea sana hizi status. Siku hizi ndio maana jf imepoyeza credibility yake kwa kiasi kikubwa. Watu maarufu na wenye heshima zao walishaacha kuandika jf, utoto na mwingi sana.Kua senior au expert ni kigezo gani?
View attachment 3327178
Marry dayana wangu kaanza pigwa vitaMtoto wa kiume Ume Anza mambo gani haya shekhe?
Hamna mkuu, humu hata sisi ma jobless pro max kina dosho12, min -me, Selikavu, Monetary doctor, ThecoderSio kwa ubaya, nilitaka tu kujua mana nilidhan ma senior ni wale wa muda mrefu au verified wenye taaluma na michango mikubwa