MEMBE yupo LIVE ITV kipindi cha dakika 45

MEMBE yupo LIVE ITV kipindi cha dakika 45

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Benard Membe ambaye ni waziri wa mambo ya nje na mbunge wa jimbo la Mtama mkoani Lindi Anahojiwa na Emmanuel Buhohela. Membe pia ni mmoja kati ya wanaotajwa kuusaka urais mwaka 2015.
Stay tuned for updates.
 
Anakiri Tanzania ni wakala mtakatifu. Kwa matumizi ya maji ya mto nile ati tukiyatumia kwa umwagiliaji Misri watakufa duh!! Preferential treatment? nani anatufanyia sisi? Madini yetu yanachotwa tu, mererani watu wananunua ndoo ya maji sh 2000 where is the convenience?
 
Na leo kajitokeza kupigia debe uwakala wake wa kutaka Misri iwe na 'exclusive rights' za matumizi ya maji ya Mto Nile.
 
Hivi ni Mara ya ngapi Membe kuhojiwa kwenye hicho kipindi.?

Au ni maalum kwa watu fulani kujiosha.
 
Hivi hakuna wa kuwahoji!kila siku yeye tu ila mara ya tatu namuona dk 45 ITV!naomba leo tena aseme tena hatogembea Ubungo
 
AMAKyasa mkuu si aulizwe ACCT ya ESCROW fedha zetu kaiba nani??
Mbona wezi hawakamatwi, maji ya Nile faida yake kwa sasa ni nini, wakati wenzake wanaiba live fedha zetu??
 
Last edited by a moderator:
AMAKyasa mkuu si aulizwe ACCT ya ESCROW fedha zetu kaiba nani??
Mbona wezi hawakamatwi, maji ya Nile faida yake kwa sasa ni nini, wakati wenzake wanaiba live fedha zetu??

Waandishi wa bongo hawana ujasiri wa kuuliza maswali hayo kama wale wa kenya wa kipindi cha The Big Questions.

Kipindi kama hiki unakuta Membe alishaandaliwa maswali, ama yeye anampa Mwandishi maswali ya kuulizwa
 
Last edited by a moderator:
Umeniwai mkuuu anaboa sasa

Laiti kama Buhohela angekua anaweka usawa kwa wageni wapinzani na wa Chama tawala (maana inaonekana ni cha wanasiasa) kingekua kipindi cha maana sana.!
 
Huyu jamaa ni mpuuzi aiseee! yani mishipa inamkakamaa kutea Misri eti wamiliki maji ya Nile kuliko wa South Sudan ambao wanakufa kwa Ukame hawawezi kutumia maji kwa umwagiliaji! Kiumbe huyu hafai kabisa.
 
Anatetea Misri kutumia maji ya Ziwa Victoria wanahaki hata kuliko watanzania,tuwe makini maana kama atasaidiwa na Misri,ikulu anaingia bila hodi!
Hapa sasa na Lowasa ndipo wanapotfautiana,maana Lowasa amesaidia leo Shinyanga,Tabora mpaka Singida wawe na matumaini ya kufaidi ile rangi ya bendera ya Taifa ya blue,maziwa,mito na bahari!
 
Ndio viongozi wenu hao Afrika ..na mkiambiwa IQ yenu ndogo mnabisha tu...sasa eti huyo ndo rais mtarajiwa!!!! hii nchi kwishney.
 
jamani leo nimekasirika kuliko maelezo kweli mtu anatetea wamisri na kuwaacha watanzania? kwa kweli huyu hafai kabisa kuwepo hata tanzania mi naona ni bora ahamie hukohuko kwa.waarabu
 
Back
Top Bottom