MVUA GAMBA
Senior Member
- Apr 13, 2011
- 102
- 63
kamanda hebu tujuzee hizoo deal za membe.....
hahahahahahaha this Msando again attacking others on his way for generating fame from JF
Hujakosea mkuu hasa huyo Membe for 2015 ananikera kweri kweri mimi!Ni faraja kuona wanatibuana wenyewe kwa wenyewe, wakivurugana watu watazidi kujua kweli magamba yanahitajika kuvuliwa
Mkuu jenga subira Januari hajaanza kazi na wala kazi yake sio full time maana kwenye chama ni kujitolea. Ila katika deal hizi ipo ile ya foreign exchange kwenye balozi zetu aliyokabidhiwa Ridhwan mpwa wa Membe
\ndio level za jf hizo
Lazima sasa kutakuwa na bifu la Membe na January lakini kwa uwezo na ujuvi wa mambo January is far ahead
I think you are just another bunch of ignorant! Sasa kama Msando angekuwa ameingia na ID fake kama yako ungejuaje na ungekuwa na huu upuuzi ulioleta hapa. Nyie ndo wale watu wakati wengine tunasonga mbele nyie inabidi tuwa-IGNORE!
Bunge ni la Tanzania lugha ya kwetu Kiswahili full spot, January was very right ni vibaraka uchwara wa lugha za wageni ndio wanamuona hakutumia busara. Yeye alitaka hata wananchi wa Bubumbuli wajue wabunge wao wanazungumza nini hilo la kupima uwezo wao wa ngeli nis suala la vyama vilivyowapitisha kuwa wabunge. Full Stop.

UVCCM tunakuangalia tu
Msando acha hizo za kushabikia utumwa wa lugha za kigeni, kwani hujui January anafahamu ngeli vema lkn anataka utaifa kwanza? Mimi ndio Mvua Gamba bwana!