Membe vs January Makamba

Membe vs January Makamba

hahahahahahaha this Msando again attacking others on his way for generating fame from JF
hujui usemalo, we unafatilia Bunge au unakurupuka tu, Msando is very right, na alomkata kilimilimi sio msando ni MEMBE! na yeye keshaelewa na katulia tuli ka ananyolewa afu we unajifanya kuongea
 
Membe ni zao la elimu ya kanisa katoliki, mzoefu wa TISS na mwana diplomasia pia ana una ufahamu kuhusu wabunge wa TZ ambao ni vihiyio wa lugha wanaposhindwa kuongea katika vikao muhimu. January ni mtoto wa Yusuf Makamba ambae ni zero, alikuwa muandaji wa hotoba za JK hapo utapima uwezo wake. Pia ni zao la UFISADI

kweli tupu mkuu, kichwa cha JM hakina tofauti na cha YM babake.
 
hahahahahahaha this Msando again attacking others on his way for generating fame from JF

... even the now famous attorney has that right to be heard as long as anajua jinsi ya kuficha ....... wake kama upo, aonyeshe hekima instead, au??
 
Kilichojiri ni kwamba January Makamba ametoa taarifa kwa Spika kwamba kiswahili ni lugha ya taifa na pia moja ya lugha ya AU tujivunie na kutaka wagombea wa uwakilishi wa Bunge la Africa wajieleze kiswahili na si kiingereza kama kanuni inavyoelekeza.

Membe akasema uzoefu na kanuni vifuatwe. Wajieleze kiingereza kwa sababu kiswahili ni wakati wa mkutano, nje wajumbe watakuwa wanatumia kiingereza kuinteract.

Halima Mdee alitoa hoja kwamba kanuni ni kujieleza kwa kiingereza. Hoja ikapita.
 
NSSF Damu,

Fame? Is it bad? Will give you examples...

'Mungu wetu ni Mungu wa sifa. Anataka tumuimbie na kumsifu kila siku'...

'binadamu tumeumbwa kwa mfano wake'....

But hoja yangu ni kwamba sijamuattack Makamba. Yeye ndie amejiexpose to attack. Hakuna nilichomsingizia. Hajafikiri.

Unawezaje kutokuona kwamba mwakilishi lazima awe fluent kwenye kingereza hata kama Kiswahili ni lugha ya mkutano?

Amesema nini mpaka leo kuhusu muswada wa katiba kuandikwa kingereza? Au kujieleza ndio ameona tatizo tu?

NSSF unampenda Makamba na ndio maana unaona ni zaidi ya Membe. Kwa hiyo Raisi hajui uwezo wake ndio maana Membe ni Waziri? Wewe uko nao karibu zaidi? Unamjua sana uwezo wake?

Ukweli unabaki, January just didnt think. His support to kiswahili was ill timed!
 
Huwezi fananisha hawa watu kabisa...JM ni kilaza namba moja.
 
Ila jamani hata kwenye vikao vingine tena International kuachana na huku dunua ya 3, mara nyingi watu hupewa head phone kwa ajili ya kuelewa nini kinaendelea kwenye kikao, ila nyumbani namaanisha Afrika tujivunie Kiswahili, makofi tafadhali
 
Ila jamani hata kwenye vikao vingine tena International kuachana na huku dunia ya 3, mara nyingi watu hupewa head phone kwa ajili ya kuelewa nini kinaendelea kwenye kikao, ila nyumbani namaanisha Afrika tujivunie Kiswahili, makofi tafadhali
 
Leo sina Sangara umemaliza hoja yangu. Nisubiri wakija ndio nimwage nondo za Maleria No More
 
NSSF Damu,

Fame? Is it bad? Will give you examples...

'Mungu wetu ni Mungu wa sifa. Anataka tumuimbie na kumsifu kila siku'...

'binadamu tumeumbwa kwa mfano wake'....

But hoja yangu ni kwamba sijamuattack Makamba. Yeye ndie amejiexpose to attack. Hakuna nilichomsingizia. Hajafikiri.

Unawezaje kutokuona kwamba mwakilishi lazima awe fluent kwenye kingereza hata kama Kiswahili ni lugha ya mkutano?

Amesema nini mpaka leo kuhusu muswada wa katiba kuandikwa kingereza? Au kujieleza ndio ameona tatizo tu?

NSSF unampenda Makamba na ndio maana unaona ni zaidi ya Membe. Kwa hiyo Raisi hajui uwezo wake ndio maana Membe ni Waziri? Wewe uko nao karibu zaidi? Unamjua sana uwezo wake?

Ukweli unabaki, January just didnt think. His support to kiswahili was ill timed!

Hili li NSSF ni lifisadi inaonekana
 
Ninavyofahamu bifu la hawa jamaa lilianza siku nyingi. Kwa hiyo tusubiri tuone maana kuna mengi yanakuja na nasubiri Januari aanze kusoma mafaili ya Membe na kuchungulia dili alizokuwa anapiga hasa zile za nchi za Kiarabu, lazima Membe naye atatakiwa kuvua gamba tu.
 
Kilichojiri ni kwamba January Makamba ametoa taarifa kwa Spika kwamba kiswahili ni lugha ya taifa na pia moja ya lugha ya AU tujivunie na kutaka wagombea wa uwakilishi wa Bunge la Africa wajieleze kiswahili na si kiingereza kama kanuni inavyoelekeza.

Membe akasema uzoefu na kanuni vifuatwe. Wajieleze kiingereza kwa sababu kiswahili ni wakati wa mkutano, nje wajumbe watakuwa wanatumia kiingereza kuinteract.

Nani anatetewa ajeleze kwa kiswahili? (kwa sababu ya kusoma shule/chuo cha kata)?
 
Ninavyofahamu bifu la hawa jamaa lilianza siku nyingi. Kwa hiyo tusubiri tuone maana kuna mengi yanakuja na nasubiri Januari aanze kusoma mafaili ya Membe na kuchungulia dili alizokuwa anapiga hasa zile za nchi za Kiarabu, lazima Membe naye atatakiwa kuvua gamba tu.

kamanda hebu tujuzee hizoo deal za membe.....
 
Mbio na sarakasi za mafisadi..ya nini kujihangaisha nazo?
 
Back
Top Bottom