Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Lukuvi possibly not membe
Lukuvi ubunge aupate kupitia jimbo gani?
Lukuvi possibly not membe
Nina maadui 11 ikifika muda nitawataja_membe
Kuna tetesi ya kupewa U/MKUU wanajanvi. Hivyo lazima agombee kiti cha ubunge. Nape atapewa jimbo linguine hasa yale yawaliozomea mkutanoni wakimataka Lowasa. AMINI HIVYO
Bora makamba yy aliweka wazi kuwa akikosa uraisi atarudi jimboni.
Hata UPM haitakuwa rahisi kihivyo. Yule jamaa anaweza akamobilise wabunge wakapiga kura ya hapana wakati wa kumthibitisha.... Hasira za yule mzee bado zitakuwa hazijapoa.
Membe wampe Ubalozi nchi za ulaya akapumzike
tz ifungue ubalozi comoro aende huko awe balozi wa kudumu....the chap is good for nothing....hata wanaompamba wana hitilafu vichwani
Membe wampe Ubalozi nchi za ulaya akapumzike
Huwa wanatangaza midomoni. Mioyoni bado wana makundi. Ndio sababu wanamtandao walivunja mtandao kinadharia mwaka 2005, huku wakiuendeleza kiuhalisia kivitendo.Ccm si wanatagaza kuwa makundi yameisha?
Hafai kuwa balozi, huyu diwani tu au mwenyekiti wa mtaa/kata.
Nape kwao Iramba Singida nduguti iweje aende lindi?ina maana watu wa mtama wamelala kiasi hicho?Acha kupotosha watu Membe hana mpango wa kugombea jimbo la Mtama labda lingine na badala yake Nape ndo atakuja kugombea jimbo la Mtama na hata leo amepita hapa Mtama akiwa ameongozana na mzee Chitende mbunge wa zamani wakielekea Nyangamara na Nahukahuka.
Membe wampe Ubalozi nchi za ulaya akapumzike