Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,185
- 5,159
Nape aje mjini DAR achuane na watoto wamjini. Aende kugombea ubungo au jimbo la kawe. Kazoea kubebwa na kuongea ovyo. safari hii ni zamu yake aje aongee lugha na watoto wa town aone moto wakeNape naye kaonja joto.