Mimi mwenyewe nilitaka kusema hivyo.Mbona kutakuwa na drama nyingikumbe kaahidiwa UWAZIRI MKUU lo haya bwana nape hangaika ki vyako
inambidi arudi mtama awaangukie wapiga kura wake watampokea na kazi itabakia kwa nape maana hajui atagombea wapi,labda akagombee kule tukuyu
Nakumbuka katika baadhi ya hotuba zaka hapa wizarani ulituambia kuwa hutarudi tena kuwa waziri maana utakuwa mkuu wa nchi sasa umeangukia pua unanarudi tena jimboni kuna nini? muachie katibu Nape mnauye na yeye aonje ubunge
Tukuyu kwa baba!!!
Sasa asiporudi jimboni atakimbilia wapi tena..?!
Lazima akagombee ubunge ili awe na uhakika wa ajira yake (uwaziri)!! tena.
Dawa yake awe balozi wa Tanzania nchini Libya.
Hata UPM haitakuwa rahisi kihivyo. Yule jamaa anaweza akamobilise wabunge wakapiga kura ya hapana wakati wa kumthibitisha.... Hasira za yule mzee bado zitakuwa hazijapoa.
Uwaziri mkuu watampa lukuvi,
Lakini kama uwaziri mkuu wangempa Harrison Mwakyembe Ingekuwa combination safi sana, hapa rais Magufuli pale waziri mkuu Mwakyembe aaiiisee! wote wachapakazi hodari Ingekuwa serikali madhubuti haijawahi tokea au labda tuifananishe na ile serikali ya Nyerere na Sokoine, hapana chezea kabisa! weka mbali na watoto!
anadaiwa na warithi wa gadafi