Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,423
Wakuu heshima kwenu,
Baada ya kutafakari kwa kina,kutokana na CCM kuonekana hakuna mtu anayefaa kwa urais kadiri ya wanajamvi wengi,mimi leo nadiriki kusema Mh Benard Membe Ndio turufu pekee ambayo CCM wanaweza Kumtumia angalau chama kikauzika kwa kiasi kidogo,japo kuwa atakuwaa na kazi kubwa Mbele Ya DR SLAA endapo CHADEMA itamsimamisha.
Mgombea mwingine nje ya Membe ni kujitakia CCM Ishindwe kwa kishindo.
Nawasilisha.