Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,423
- Thread starter
- #21
nishasema endapo chadema watamsimamisha slaa,na sio kwamba slaa ndio mgombea pekee wa chadema,read between the line.Umejuaje kama dr Slaa ndiye atakayegombea 2015?
nishasema endapo chadema watamsimamisha slaa,na sio kwamba slaa ndio mgombea pekee wa chadema,read between the line.Umejuaje kama dr Slaa ndiye atakayegombea 2015?
fafanua hadhi gani unayozungumzia?Membe hana kitu ushahidi ni wizara anayoongoza haina hadhi kama enzi za Mkapa, kuna kashfa kibao.
hapana mkuu mimi ni chadema hai,ila nasema mdani ya ccm membe ana mvuto na hana mawaa,soma vizuri post yangu.wewe ungemuuliza kuwa amejuaje kuwa membe anafaa?,IVI SLAA ANAWAPA WAZIMU ATI? Slaa ndiye rais,membe mgombea wa magamba.
aksante kwa kuwa fair, waliojibu post yangu hakuna matusi hii ni safi.Tutashuru sana CCM wakimpitisha! Membe ni muungwana na ikiwa ameshindnashukuru wyeye atakubali kirahisi matokeo kuliko EDO japokuwa endo anahistoria ya kuachia ulaji kirahi kama alivyo utema U-PM!...
Wakuu heshima kwenu,
Baada ya kutafakari kwa kina,kutokana na CCM kuonekana hakuna mtu anayefaa kwa urais kadiri ya wanajamvi wengi,mimi leo nadiriki kusema Mh Benard Membe Ndio turufu pekee ambayo CCM wanaweza Kumtumia angalau chama kikauzika kwa kiasi kidogo,japo kuwa atakuwaa na kazi kubwa Mbele Ya DR SLAA endapo CHADEMA itamsimamisha.
Mgombea mwingine nje ya Membe ni kujitakia CCM Ishindwe kwa kishindo.
Nawasilisha.
Mkuu kama unafuatilia vyombo vya habari vizuri,ungejua issue ya border ya Mlawi na TZ,iko kwenye usuluishi ,chini ya Rais mstaafu wa Mozambique Chissano,zinaanza kwanza njia za kidiplomasia then kama watu hawelewi inachukuliwa hatua nyingine zaidi inayofaa,thats all about.Ikitokea CCM wakamsimamisha Lowasa kama mgombea wa urais, then naweza kurudisha imani kidogo na hiki chama lakini si mgombea mwingine. Nani ana nafuu kumzidi tukiweka itikadi zetu za kichama pembeni? Kuna mmoja wa wana jf aliwahi kusema hata kama jamaa alikua fisadi then alikua anakula mwenyewe akimaanisha kwa utendaji kazi wake, watu wa chini yake waliwajibika kuliko ilivyo sasa. Ifike muda tutafakari jambo hili kwa umakini na sii kumpa tu mtu nchi kisa chama, tuangalie utendaji wake ukoje la sivyo maisha tuliyoishi ktk huu utawala uliopo yatazidi kuwa magumu kuliko tunavyodhania. Kwa hiyo wito wangu ni huu, bila kujali chama, tumpe nchi mtu mwenye uwezo wa kusimamia jambo au kuchukua maamuzi mazito kwa masrahi ya nchi. By the way, ile homework ya ziwa Nyasa kaimaliza au kafikia wapi? Lazima tupime mafanikio yake? Wizara yake imefanikiwa kwa kiasi gani toka apewe? Balozi zetu nje zina hali gani?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Umejuaje kama dr Slaa ndiye atakayegombea 2015?
mimi naona mwigulu, nape, wasira ama lusinde wanafaa kuwa raisi 2015
Sina hakika kwamba kuna mahali ambapo hapana failure,hata katika ngazi ya familia yako,kuna sehemu mambo hayako vizuri.Ikulu nadhani umesikia watu walitengeneza safari hewa ya raisi ili watie kibindoni bilion 3,hivyo changamoto katika kila sehemu zipo,kwa kiasi gani? Bado naamini MH Membe ndio anaonekana kufaa kusimama kupitia CCM no matter atashinda au la.lakini is the only one through ccm.Membe hana kitu ushahidi ni wizara anayoongoza haina hadhi kama enzi za Mkapa, kuna kashfa kibao.
Ikitokea CCM wakamsimamisha Lowasa kama mgombea wa urais, then naweza kurudisha imani kidogo na hiki chama lakini si mgombea mwingine. Nani ana nafuu kumzidi tukiweka itikadi zetu za kichama pembeni? Kuna mmoja wa wana jf aliwahi kusema hata kama jamaa alikua fisadi then alikua anakula mwenyewe akimaanisha kwa utendaji kazi wake, watu wa chini yake waliwajibika kuliko ilivyo sasa. Ifike muda tutafakari jambo hili kwa umakini na sii kumpa tu mtu nchi kisa chama, tuangalie utendaji wake ukoje la sivyo maisha tuliyoishi ktk huu utawala uliopo yatazidi kuwa magumu kuliko tunavyodhania. Kwa hiyo wito wangu ni huu, bila kujali chama, tumpe nchi mtu mwenye uwezo wa kusimamia jambo au kuchukua maamuzi mazito kwa masrahi ya nchi. By the way, ile homework ya ziwa Nyasa kaimaliza au kafikia wapi? Lazima tupime mafanikio yake? Wizara yake imefanikiwa kwa kiasi gani toka apewe? Balozi zetu nje zina hali gani?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Atapata kura za riz, baba riz, mama riz/shem wake,lakn miraji wa jk atapiga kwa dr.Slaa, kwnn ni mzalendo wa kweli.[/QUOTE
Unakumbuka kuwa katika ujumbe wa NEC yeye aliingia kupitia kundi la kifo,akapata kura karibu 1500,hakutoa hata shilingi,akina Bashe walimchafua haikusaidia kitu,Jiulize kwa nini Laigwani alipitia NEC mkoani badala ya kundi la kifo? usinijibu,jibu unalo.
Tutashuru sana CCM wakimpitisha! Membe ni muungwana na ikiwa ameshindwa yeye atakubali kirahisi matokeo kuliko EDO japokuwa endo anahistoria ya kuachia ulaji kirahi kama alivyo utema U-PM!...
Acha kupotosha Membe ni mristu,tena mkatoliki,alisoma seminar ya Mt Benedcto Jimboni Lindi,na baadae Itaga Seminary Tabora.Hajawahi kuwa mwislamu acha uongo kupotosha.Membe ni Mwislam covertly na anajifanya Mkristo overtly ili aupate urais 2015. Sasa Wakristo tumeshalijua hilo na hatapata hata kura moja ya Mkristo. Kwa uthibitisho tu tazama teuzi anazozifanya kama za wajumbe wa bodi kama AICC, chuo cha diplomasia kurasini, etc. Amejaza Waislam humo. Ni chui aliyevaa ngozi ya mwanakondoo. Go to hell Membe !
Mimi sijatumwa,ni utashi wangu mwenyewe.Nandhani wewe umezoea kutumwa,ndio maana akili yako inafikiri kila mtua afanyaye kitu katumwa,kwa vile wewe unaishi kwa mtindo huo.kaka uliyeleta hoja hii umetumwa kupima kina cha maji na kibaya zaid unapima kina cha maji kwa miguu yote miwili watu wanaakili kaka any way aliyekutuma mwambie hivi time will tel us kama ndivyo ila rais wanamjua watanzania wape nafasi wataupa tu rais muda ukifika.
Wakuu heshima kwenu,
Baada ya kutafakari kwa kina,kutokana na CCM kuonekana hakuna mtu anayefaa kwa urais kadiri ya wanajamvi wengi,mimi leo nadiriki kusema Mh Benard Membe Ndio turufu pekee ambayo CCM wanaweza Kumtumia angalau chama kikauzika kwa kiasi kidogo,japo kuwa atakuwaa na kazi kubwa Mbele Ya DR SLAA endapo CHADEMA itamsimamisha.
Mgombea mwingine nje ya Membe ni kujitakia CCM Ishindwe kwa kishindo.
Nawasilisha.
Kusoma Seminary siyo kigezo cha kumfanya mtu kuwa Mkristo. Membe ni Mwislam kama kaka yake JK. Tofauti iliyopo kati ya JK na Membe ni kwamba Membe anauvaa Ukristo kwa nje ili aupate urais 2015 wakati ukweli ni kwamba ni Mwislam. Pia Membe ni mdini kama alivyo JK. Unazizungumziaje teuzi zake za wajumbe wa bodi zilizo chini ya wizara yake?Acha kupotosha Membe ni mristu,tena mkatoliki,alisoma seminar ya Mt Benedcto Jimboni Lindi,na baadae Itaga Seminary Tabora.Hajawahi kuwa mwislamu acha uongo kupotosha.