Membe Turufu Pekee Ya CCM Uchaguzi Mkuu 2015

Membe Turufu Pekee Ya CCM Uchaguzi Mkuu 2015

leta evidence kuwa Membe ni mwislamu,yeye ni mristu,ni mtu ambaye mimi namfahamu,siongei kwa kubahatisha,kusema alikwa mseminarist ni kuonyesha ninavyomfahamu,na mpaka sasa yeye ni mkristo,sikukuu zote kubwa Pasaka huwa kwao Rondo na anaingia kanisani kusali,hata Pasaka hii alikuwa kwao Rondo,je wewe umewahi kumwona msikiti gani akiswali?
 
Membe ni mkristo,sikukuu ya pasaka alikuwa kwao Rondo,na aliingia kusali kanisani,kama ni mwislamu thibitisha ni lini ulumuona anaenda kuswali na ni msikiti gani?
 
Naipenda strategy ya Chadema: wanamshabikia Fisadi papa waliye mvua pale mwembe yanga ili awe mgombea wa ccm atakayewapa ushindi hata kabla ya kura. Chadema wanajuwa fika kwamba akisimama Mzee wa mamvi a.k.a mzee wa ela ya chai, watachukuwa nchi kiulaini maana tayari walikwisha muua kisiasa pale mwembe yanga.

Ndoto ya Chadema kuchukuwa nchi itakamilika kwa kosa la CCM kumsimamisha Mzee wa ela ya chai 2015.
 
Membe sio chaguo la CCM ni Familia Kikwete ndio wanaopigania Membe awe Rais miaka 10 kisha baada ya hapo Membe atawakipa fadhili FAMILIA ya JK kwa kumsaidia rz1 naye aukwae urais-TUNAWAPA POLE MIPANGO YAO HAITATIMIA MAANA TANZANIA YA LEO SIO YA ENZI ZA ZIDUMU FIJKRA ZA M/KTI WA CCM.
 
Membe sio chaguo la CCM ni Familia ya Kikwete ndio wanaopigania Membe awe Rais kwa miaka 10 kisha baada ya hapo Membe atarudisha fadhila kwa FAMILIA ya JK kwa kumsaidia rz1 naye aukwae urais-TUNAWAPA POLE MIPANGO YAO HAITATIMIA MAANA TANZANIA YA LEO SIO YA ENZI ZA ZIDUMU FIKRA ZA M/KTI WA CCM.
 
wewe ni mwongo,baba ya Mh Membe alishafariki, Rondo kwa ajali ya bunduki.Mzee Kamilius Membe.
 
s Let go to the line,middle name or sir name it is not a matter.

Ukana taratibu mkuu, hakuna mtu anayeitwa Kamilius Membe kwenye familia ya Mh Membe. Wala hakuna anayeitwa Kamilius Anthony Membe kama unavyofikiria. Baba yake Mh ni marehemu Kamilius Anthony Kambona, na mama yake Mh ni marehemu Cecilia John Membe. Mtoto waliomzaa ni Bernard Kamilius Membe. Kabila la wamwera ambalo Mh Membe yumo wao uchukuwa sir name kutoka kwa mama, hivyo basi Membe ni jina la ukoo la mama yake Mh. Ukisema baba wa Mh ni Kamilius Membe manake baba wa Mh ni aidha kaka yake au mjomba wake. So yes it matters....a lot.
 
Baba yake ni Mchewa wa Malawi......ukoo wa Mama...membe.
 
mkuu yaani jamaa anavyopiga jaramba na gea anayotumia kuwarubuni vijana kuingia kwenye camp yake ni kuwa yeye ndiyo presida coz amekuwa endorsed with outgoing presida.hofu yangu kakitika kutekeleza adhama yake basi kucha za watu zitajaa makontena

Mkuu hizo ni ndoto za mchana kweupe; Take it from me; Yaje masika, kije kiangazi, uje usiku, uwe mchana, iwe asubuhi ama jioni muishiwa Membe hawezi kuwa rais wa nchi hii.
 
Ukana taratibu mkuu, hakuna mtu anayeitwa Kamilius Membe kwenye familia ya Mh Membe. Wala hakuna anayeitwa Kamilius Anthony Membe kama unavyofikiria. Baba yake Mh ni marehemu Kamilius Anthony Kambona, na mama yake Mh ni marehemu Cecilia John Membe. Mtoto waliomzaa ni Bernard Kamilius Membe. Kabila la wamwera ambalo Mh Membe yumo wao uchukuwa sir name kutoka kwa mama, hivyo basi Membe ni jina la ukoo la mama yake Mh. Ukisema baba wa Mh ni Kamilius Membe manake baba wa Mh ni aidha kaka yake au mjomba wake. So yes it matters....a lot.
unatoka nje ya mstari mkuu,
 
Mwizi mpe nyumba yako akulindie, nadhani ungemweka Lowahasa atulinde kidogo afwadhali
 
Ukana taratibu mkuu, hakuna mtu anayeitwa Kamilius Membe kwenye familia ya Mh Membe. Wala hakuna anayeitwa Kamilius Anthony Membe kama unavyofikiria. Baba yake Mh ni marehemu Kamilius Anthony Kambona, na mama yake Mh ni marehemu Cecilia John Membe. Mtoto waliomzaa ni Bernard Kamilius Membe. Kabila la wamwera ambalo Mh Membe yumo wao uchukuwa sir name kutoka kwa mama, hivyo basi Membe ni jina la ukoo la mama yake Mh. Ukisema baba wa Mh ni Kamilius Membe manake baba wa Mh ni aidha kaka yake au mjomba wake. So yes it matters....a lot.
hata mimi ni mmwera,pia nimechukua ukoo wa mama, kwa wamwera nafahamu,ila tustic kwenye heading ya uzi wangu.
 
nilichosema ni kuwa yeye ni candidate anayeeuzika kupitia ccm,kuwa rais watanzania wenyewe wataamua ukiwamo wewe!
 
Wakuu
heshima kwenu,

Baada ya kutafakari kwa kina,kutokana na CCM kuonekana hakuna mtu
anayefaa kwa urais kadiri ya wanajamvi wengi,mimi leo nadiriki kusema Mh
Benard Membe Ndio turufu pekee ambayo CCM wanaweza Kumtumia angalau
chama kikauzika kwa kiasi kidogo,japo kuwa atakuwaa na kazi kubwa Mbele
Ya DR SLAA endapo CHADEMA itamsimamisha.

Mgombea mwingine nje ya Membe ni kujitakia CCM Ishindwe kwa kishindo.

Nawasilisha.

Mkuu,
Udini ambao CCM wameuasisi bila kujua kupitia kauli mabalimbali za viongozi wa CCM kwenye MAJUKWAA ndo utakaoifanya CCM kuwa na wakati mgumu wa kusimamisha mgombea na wakikosea ktk hilo WATAKUWA WAMEKWISHA.
 
leta evidence kuwa
Membe ni mwislamu,yeye ni mristu,ni mtu ambaye mimi namfahamu,siongei
kwa kubahatisha,kusema alikwa mseminarist ni kuonyesha ninavyomfahamu,na
mpaka sasa yeye ni mkristo,sikukuu zote kubwa Pasaka huwa kwao Rondo na
anaingia kanisani kusali,hata Pasaka hii alikuwa kwao Rondo,je wewe
umewahi kumwona msikiti gani akiswali?

Pole sana mkuu kama hujui haya mambo yalivyo.
Wewe anajidanganya kuwa unamfahamu Membe kumbe humfahamu kabisa.
 
Back
Top Bottom