Membe Turufu Pekee Ya CCM Uchaguzi Mkuu 2015

wewe ni mwongo,baba
ya Mh Membe alishafariki, Rondo kwa ajali ya bunduki.Mzee Kamilius
Membe.

Mama yako wewe ndo anayejua kama wewe ni mtoto wa BABA UNAYEISHI NAYE au vinginevyo.
Mtoto ni wa MAMA mkuu.

Ukimwangalia Membe unaona wanafanana na Mrisho? na je Mrisho huwa anafanana na baba au mama yake?

Ukipata jibu la hapo utakuwa umemfahamu Benard.
 
Ni kweli mkuu tuna heshimu kina mama.....wana Siri nyingi.....of that talking of Mrisho ....nilipita viiwe Vya kahawa kariakoo wazee wakiwa wanajisemea hafanani na Ndugu zake wa kuzaliwa nae hata mmoja.....yaaani yeye Kama yeye ...Ana fanana kivyake ....na hata kimaendeleo toka utotoni akawa na akili darasani tofauti na wenzake.....Wananon'gona kuwa baba yake ni Yule chifu wa kabila moja kubwa la Kaskazini na hata Ukiweka picha Zao wanafananiana Zaidi na chifu kuliko na Ndugu zake ....Sasa hayo ni maneno ya wazee!!!!!!
Kama vile vile wanavuomsema Yule rafik yake mkuu wa upinzani kuwa anafanana na Kina Makongoro Zaidi ya Ndugu zake....
 
Watu milion 44 kuna candiadte wawili tu, wengine wote mabulula hawawezi kwa maraisi. Shame on you, kwa nini usijipendekeze wewe ama ni mwenyewe?
 
Nadhani mtoa mada unafanya utafiti au umetumwa na membe mwenyewe..amekulipa kiasi gani kwa kazi hii?mnajisumbua kuandika eti huyu ana faa yule hafai..njia nyeupe kwa CDM 2015
Hivi nyie washabiki wa Slaa huwa mnalipwa??
 
Mkuu hizo ni ndoto za mchana kweupe; Take it from me; Yaje masika, kije kiangazi, uje usiku, uwe mchana, iwe asubuhi ama jioni muishiwa Membe hawezi kuwa rais wa nchi hii.

Mkuu unajua tatizo la hawa jamaa wanajidanganya eti kuwa ukishakuwa waziri wa mambo ya nje basi ni automaticaly president.
 
Mkuu Ukana Shilungo

Membe amekaa muda wizara ya mambo ya nje ukiondoa mgogoro wa Malawi sijaoana cha maana alichokifanya.Mwanasiasa pekee anayeweza kuwasumbua wapinzania ni Samwel Sitta kumbuka hata CDM walimuomba agombee urais kupitia chama chao alipowagomea wakampigia magoti Dr Slaa.

Wakuu heshima kwenu,

Baada ya kutafakari kwa kina,kutokana na CCM kuonekana hakuna mtu anayefaa kwa urais kadiri ya wanajamvi wengi,mimi leo nadiriki kusema Mh Benard Membe Ndio turufu pekee ambayo CCM wanaweza Kumtumia angalau chama kikauzika kwa kiasi kidogo,japo kuwa atakuwaa na kazi kubwa Mbele Ya DR SLAA endapo CHADEMA itamsimamisha.

Mgombea mwingine nje ya Membe ni kujitakia CCM Ishindwe kwa kishindo.

Nawasilisha.
 
Last edited by a moderator:
Mama yako wewe ndo anayejua kama wewe ni mtoto wa BABA UNAYEISHI NAYE au vinginevyo.
Mtoto ni wa MAMA mkuu.

Ukimwangalia Membe unaona wanafanana na Mrisho? na je Mrisho huwa anafanana na baba au mama yake?

Ukipata jibu la hapo utakuwa umemfahamu Benard.
Hizo ni hadithi ambazo watu wengi wanaongea,turudi kwenye heading ya thread zaidi kuliko unasaba bandia unaoufikiria wa Mkulu na Mh Membe.
 
SAWA hata akina kova,Mwema,kama kusingekuwa na issue za ujambazi,matukio ya wizi kusingekuwa na mambo yanayowapambanua,na kupata air time au coverage kwenye mass media,kwa hiyo umenena kweli mgogoro wa Malawi na Tz ndio unampa jina katika wizara yake,lakini yako mengine tusiyoyajua kwa vile wewe na mimi labda hatuko katika nafsi ya kuyatambua hayo,kwa hiyo ni rahisi mno kuona hana la Pekee alilofanya.LAKINI UKWELI HAUPO HIVYO.
 
Mama yako wewe ndo anayejua kama wewe ni mtoto wa BABA UNAYEISHI NAYE au vinginevyo.

Sasa kama JF tunamjua baba wa Membe (awe Mrisho au Kamilius) je sisi ni mama zake Membe? JF hatunazo kweli.
 
mbona watu wasafi ndani ya ccm wapo wengi tu wa kutosha kwa kauli kama hiyo inaonekana moja kwa moja ya kuwa wewe ni mnazi wa membe kwani kuna watu ambao ni watendaji wazuri tu ambao hata membe hafiki nusu yao huhitaji kuingia kwenye vitabu na kuanza kufunua kujua ni kina nani wazuri ccm ambao wanaweza kulifikisha taifa mahali ambapo tunataka lifike
 
duh... Mtoa mada kwel nahc ume2mwa.. Mbna unamjua sana tena mpaka kijijin kwao, kwel umetumwa debe unaliweza, ila ukristo wa membe ni wa kuihadaa jamii lakn ni muislam kama familia yake ya magogoni ilivyo, hatutak jk atawale tena miaka kumi mingne kwa remote(membe)
 
Ni kweli mkuu tuna heshimu kina mama.....wana Siri nyingi.....of that talking of Mrisho ....nilipita viiwe Vya kahawa kariakoo wazee wakiwa wanajisemea hafanani na Ndugu zake wa kuzaliwa nae hata mmoja.....yaaani yeye Kama yeye ...Ana fanana kivyake ....na hata kimaendeleo toka utotoni akawa na akili darasani tofauti na wenzake.....Wananon'gona kuwa baba yake ni Yule chifu wa kabila moja kubwa la Kaskazini na hata Ukiweka picha Zao wanafananiana Zaidi na chifu kuliko na Ndugu zake ....Sasa hayo ni maneno ya wazee!!!!!!
Kama vile vile wanavuomsema Yule rafik yake mkuu wa upinzani kuwa anafanana na Kina Makongoro Zaidi ya Ndugu zake....

Duh! Nimekuja wangu wangu kusoma post yako. Kumbe source yako ni wazee wa Kahawa kariakoo, wala sio Rondo anakotoka Mh Membe. Mkongwe kama wewe hapa JF nilitegemea uje na ushahidi wa DNA badala ya vijiwe vya wazee. Anyway, I take this as an isolated case of the lowest you have ever gone.

Back to the point; I personally think Membe fits presidential shoe as he has the much needed moral authority in CCM. We can sing all the goods of his potential opponent, Edo, but what Edo lacks is what Tz people want: a scandal-less leader to safeguard national worth and have every citizen share.

It really doesn't come to surprise that Edo talks nothing about grand embezzlement as it affects daily life of mwananch. He is in it and from it he stepped down from ministerial seat. He won't dare talking about Kagoda, Richmond, and the likes for the same reason.

I don't know what goes on in the minds of Tz but I start to think Edo shares his worth so generously to his campaign team across the country to get people forget his scandals.

During Richmond and Kagoda scandals the whole country wanted Edo to be sued for corruption. Edo's right hand man felt the pinch and down he stepped. Cleverly, I think, Edo used the stollen cash to ease things up. Funny enough, Chadema, who had his name at the top of the list of shame now cheer him up for the presidential race in his part. They must have a reason that sounds to their advantage!

All in all, CCM is set for a do or die type of a war. When a leader is fisadi he blesses ufisadi in his party and the country as a whole. I doubt if that is what CCM wants.
 
Mkuu huu ni mtazamo wangu,ikizingatia hapa jamii forum wengi husema hakuna mtu wa maana kupitia ccm,mimi naona Membe,hao wengine tuletee wewe jamvini,kama mimi nilivyoleta jina la Membe.kama wapo bado hwajapata nafasi za kuonekana national wide if not world wide.
 
Yes namfahamu,kwani mimi naandika toka mikoa ya kusini,anatoka katika mkoa niliozaliwa,by then we share the same tribe,kwani nini nisimfahamu? Ni sawa na mtu anayetoka Kyela kwa Mwakyembe,kiasi kikubwa atafahamu ABC fulani za Mwakyembe.
 
aksante kwa kuwa fair, waliojibu post yangu hakuna matusi hii ni safi.
Next time usibadili hoja yangu kwa kuniwekea ama kupunguza maneno unapo quote! kuwa fair!...If you can read between the lines CDM watanufaika zaidi CCM wakimsimamisha Membe...
 
Duh! Nimekuja wangu wangu kusoma post yako. Kumbe source yako ni wazee wa Kahawa kariakoo, wala sio Rondo anakotoka Mh Membe. Mkongwe kama wewe hapa JF nilitegemea uje na ushahidi wa DNA badala ya vijiwe vya wazee. Anyway, I take this as an isolated case of the lowest you have ever gone.

Back to the point; I personally think Membe fits presidential shoe as he has the much needed moral authority in CCM. We can sing all the goods of his potential opponent, Edo, but what Edo lacks is what Tz people want: a scandal-less leader to safeguard national worth and have every citizen share.

It really doesn't come to surprise that Edo talks nothing about grand embezzlement as it affects daily life of mwananch. He is in it and from it he stepped down from ministerial seat. He won't dare talking about Kagoda, Richmond, and the likes for the same reason.

I don't know what goes on in the minds of Tz but I start to think Edo shares his worth so generously to his campaign team across the country to get people forget his scandals.

During Richmond and Kagoda scandals the whole country wanted Edo to be sued for corruption. Edo's right hand man felt the pinch and down he stepped. Cleverly, I think, Edo used the stollen cash to ease things up. Funny enough, Chadema, who had his name at the top of the list of shame now cheer him up for the presidential race in his part. They must have a reason that sounds to their advantage!

All in all, CCM is set for a do or die type of a war. When a leader is fisadi he blesses ufisadi in his party and the country as a whole. I doubt if that is what CCM wants.

Kwa Tz ya sasa nani asiekuwa na kashfa? Ukiongelea viongozi wasiokua na kashfa then angalau asimame Dr Salim Ahmed Salim. Hii nchi ilipofikia inahitaji strong person. Mtu mwenye characters kama za Dr. Mwakyembe na Dr. Magufuri. Mchapakazi na anaesimamia maamuzi. Mifano si tunayo katika utendaji kazi kwenye wizara zao? Viongozi wangapi wana kashfa? Ukikosa gari mpya unachukua hata used so long iko fit for that purpose. Tuna watu wachache wapo wasio na kashfa but are they capable kwa post hiyo? So, kwa sasa hatuangalii kashfa alowahi kupata mtu, tunaangalia mtu alie na uwezo kiutendaji, anaewajibika na kuwajibisha watu. Sijajua tunakoelekea kwa kweli.

Tukianza kutafuta asie na kashfa na ambae hajawahi pata kashfa, nitagombea mimi labda!!!!!!

Ila kwa ufupi, we need rais ajae mwenye uwezo mkubwa wa kuchukua maamuzi na kusimamia hayo maamuzi. Bila kutaja ni Membe, Lowasa, Slaa, Magufuri, Mwakyembe au Mkubya; watanzania waamue wao wenyewe lakini katika hayo maamuzi, wawe na akili timamu na wasichague kwa kuangalia chama, pesa au kitu kingine tofauti na utendaji kazi wa mtu. Tofauti na hapo, tutajuta siku moja.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wakuu heshima kwenu,

Baada ya kutafakari kwa kina,kutokana na CCM kuonekana hakuna mtu anayefaa kwa urais kadiri ya wanajamvi wengi,mimi leo nadiriki kusema Mh Benard Membe Ndio turufu pekee ambayo CCM wanaweza Kumtumia angalau chama kikauzika kwa kiasi kidogo,japo kuwa atakuwaa na kazi kubwa Mbele Ya DR SLAA endapo CHADEMA itamsimamisha.

Mgombea mwingine nje ya Membe ni kujitakia CCM Ishindwe kwa kishindo.

Nawasilisha.

Hatutaki OIC katika ardhi ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom