okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,450
- 3,832
Hakika yalitimia
Kwa Tz ya sasa nani asiekuwa na kashfa? Ukiongelea viongozi wasiokua na kashfa then angalau asimame Dr Salim Ahmed Salim. Hii nchi ilipofikia inahitaji strong person. Mtu mwenye characters kama za Dr. Mwakyembe na Dr. Magufuri. Mchapakazi na anaesimamia maamuzi. Mifano si tunayo katika utendaji kazi kwenye wizara zao? Viongozi wangapi wana kashfa? Ukikosa gari mpya unachukua hata used so long iko fit for that purpose. Tuna watu wachache wapo wasio na kashfa but are they capable kwa post hiyo? So, kwa sasa hatuangalii kashfa alowahi kupata mtu, tunaangalia mtu alie na uwezo kiutendaji, anaewajibika na kuwajibisha watu. Sijajua tunakoelekea kwa kweli.
Tukianza kutafuta asie na kashfa na ambae hajawahi pata kashfa, nitagombea mimi labda!!!!!!
Ila kwa ufupi, we need rais ajae mwenye uwezo mkubwa wa kuchukua maamuzi na kusimamia hayo maamuzi. Bila kutaja ni Membe, Lowasa, Slaa, Magufuri, Mwakyembe au Mkubya; watanzania waamue wao wenyewe lakini katika hayo maamuzi, wawe na akili timamu na wasichague kwa kuangalia chama, pesa au kitu kingine tofauti na utendaji kazi wa mtu. Tofauti na hapo, tutajuta siku moja.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums