serikali ya watu serious ni ile inayosafisha mafisadi?tusiwe wepesi sana kudandia mambo ya ccm, hawa jamaa niwajanja sana wanakorogana hivi ili ndio iwe mwisho wetu kujadili madudu yao kitakacho fata hapa soon tuhuma za Magu zitawekwa nje au za washkaji zake ccm wanajua kuneutralize sana pressure ya watanzania..!! solution nikuing'oa ccm madarakani tutengeneze serikali ya watu serious
Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.
Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.
Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.
Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.
Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
Itakuwa ni fashion huko kwao basi, na mbunge wake naye si unamuona? Lakini anayo haki ya kutoa maoniKwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.
Hapana!!!!!! Lkn acha uhuni.....kama nawaona wa msoga nyuma ya membe
Hata wewe umeanza kumponda Membe. Ng'wanene.Kwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.
Labda kundi la waliokosa uteuzi. Miaka yote alipokuwa waziri alifanya nn cha kukumbukwa. Atulie amwache Magufuli afanye kazi. Kama ana shida ahamie LibyaNahisi kuna mgogoro mkubwa ndani ya CCM,mpaka Membe anajitokeza hadharani kusema haya basi amini nawaambieni kuna kundi kubwa nyuma yake linalompa ujasiri huu.
Hata hivyo wanazidi kuturahisishia kazi 2020 sio mbali.
Ni kweli kabisa ni haki yake kikatiba kueleza jema au baya kwake kama anavyo liona akizingatia sheria kinacho shangaza na kuacha watu waseme ni ile hali kuwa pale awali ali sifu na kupaka mafuta lakini ghafla ame badilika na kurusha madongo. je kume badilika nini mara, au pale mwanzo tuamini ali ghafilika? pengine ange liweka wazi ili na wengine tuelewe au hizi nyundo zili subiri muda muafaka?Aliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.
Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.
Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.
Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.
Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
Heheheh hayo hayatuhusu,vita vya panziKu
Labda kundi la waliokosa uteuzi. Miaka yote alipokuwa waziri alifanya nn cha kukumbukwa. Atulie amwache Magufuli afanye kazi. Kama ana shida ahamie Libya
Utamkumbuka sana kwa kukufikisha mbali kugombea uraisi,lakini Mungu hakukutakaAliyekuwa waziri wa mashauri ya nje,Ndg.Membe amewajibu wanaotaka akae kimya kuwa hawezi kunyamaza na anatumia haki yake kikatiba bila kuvunja sheria.
Membe amewataka wajibu kwa hoja badala ya kumziba mdogo.
Membe ameongeza kuwa baadhi ya wana CCM wamekuwa wanafiki wa kutupwa na hawataki Magufuli akosolewe.
Atakuwa mstari wa mbele kutoa maoni huru kwa mambo yanayoendelea bila kuvunja sheria.
Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
Mbona Nape anajichubua?Kwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.
Hiyo ndo tabia yenu wanaccm.Kwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.