Amesisitiza kuwa rais Kikwete atakumbukwa sana kwa kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao
Haya wanyongeni, mnyongaji nipo hapaDawa ya wasaliti ni kunyongwa tu. Membe na wasaliti wenzake ni wasaliti na wanastahili kunyongwa
January na nchembaSi ccm mwenzako? Majaliwa je yy hajichubui?
CCM kweli ni manyumbu,leo wanamtukana Membe jamani
Docta Slaa kajenga Chama hatimaye kauza siri za chama kwa wapinzani wake.Hata hivyo alikuwa na Element za CCM maana alikulia kule.Muulize waliomnunua kipindi cha Serena na Mwakyembe wakeAlitukanwa Dr slaa chadema ije kua Membe ccm!!
Kwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.
Docta Slaa kajenga Chama hatimaye kauza siri za chama kwa wapinzani wake.Hata hivyo alikuwa na Element za CCM maana alikulia kule.Muulize waliomnunua kipindi cha Serena na Mwakyembe wake
Muache Rais atekeleze majukumu yake kama kumshauri sio kupitia vyombo vya habari omba appointment na Mh Rais akikubali nenda mkajenge nchi, kutoa ushauri kama akiukubali hewala akikataa basi tulia mzee,Mh atekeleze vission zake kwa kufuata mwongozo Ushauri usitumie vyombo vya habari kwa hilo mapumziko mema Mstaafu
Kwanza mimi sijawahi kumwelewa membe tangu ameanza kuongea miaka yote huongea ubwabwa tu,ukiona mwanaume anajichubua basi ujue anashida kubwa sana kichwani mwake.
Kwan MAGUFULI hakuwa mmoja wa serikari iliopita? Tatizo lenu ccm hamtaki kuambiwa ukwel wala kukosolewa mnapo haribu, acha waongee ukwel na madhaifu yaliyopoNi wazi kabisa kuwa team Jk hawafurahishwi na mengi yanayofanywa na Magufuli kwakuwa
1.halikuwa chaguo Lao tangu mwanzo
2.anagusa maslahi yao
3.anagusa maslahi ya 'watu' wao
4.anawavua nguo peupe kwa timua timua ya watendaji walioteuliwa kipindi chao na kuibua kila aina ya uozo
5.ongezeko la mapato ya TRA linawaumbua kuwa hawakuwa makini
Orodha ni ndefu na kwakweli watafanya kila juhudi kumkwamisha ili aonekane hafai
Time will tell. ...!!!
Zitto alipewa adhabu ndogo tu ya kufutiwa uanachama ccm povu liliwatoka na ikawa agenda yenu kumtetea na kulaani zitto kuitwa msaliti, limefika kwenu hili janga mnataka kutoa uhai wa watu na jina lili lile aliloitwa zitoo leo mnalitumia, kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.Dawa ya wasaliti ni kunyongwa tu. Membe na wasaliti wenzake ni wasaliti na wanastahili kunyongwa