Membe sio mmiliki wa Naf Beach Hotel

Membe sio mmiliki wa Naf Beach Hotel

Sauti ya Rondo

Senior Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
127
Reaction score
226
Habari watanzania wenzangu wapenda amani na maendeleo.Napenda kuchukua nafasi hii kutolea ufafanuzi suala la nani ni mmiliki wa Naf Beach Hotel iliyopo mkoani Mtwara.Kumekuwa na habari zikisambaa kwa muda mrefu sasa juu ya kuhusishwa kwa Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika umiliki wa hoteli hii ya nyota tano.

Ukweli ni kwamba Membe hajawahi kumiliki au kuwa sehemu ya umiliki wa hoteli hii.Membe hajawahi kufanya biashara.Kumhusisha Membe na umiliki wa Naf Beach Hotel ni kuchuma dhambi kwa muumba wa vyote duniani.Tusitumie siasa chafu kuchafua hata wasiohusika na mambo yanayozushwa mitaani.Hoteli ya Naf Beach ni mali ya Shabaan maarufu kama Shebby Mix aliyoijenga kwa mkopo kutoka Crdb.

Hakuna uhusiano wowote kati ya Membe na Shabaan iwe kiundugu,kiurafiki au kibiashara na ndio maana inakuwa sio afya kuleta mijadala inayosema uongo kuhusu hoteli hii isiyokuwa na jina lenye nasaba yoyote na Membe katika umiliki wake.Nasisitiza tujadili kweli na kuikataa uongo kwasababu itatuweka huru kifikra na kimaamuzi.Nawasilisha!
 
Mnatuchosha!
 
Shebby Matelefone ametangulizwa tu kama boya. Watu tunajua hadi Membe alikotoa hela ila tunaogopa kusema kwa kuwa Membe anao maadui 11 na wa kwanza Absalom Kibanda tunajua alichokipata, wapili afisa ubalozi wa Libya "alijinyonga", Tusijekuwa wa 12.

RIP Muamar Ghadaffi
 
Mkuu unajitahidi kufanya "racking " ya nguvu kwa mh.
Yote tisa kumi ni kama angekuja mh. mwenyewe hapa jukwaani kukanusha
 
Shebby Matelefone ametangulizwa tu kama boya. Watu tunajua hadi Membe alikotoa hela ila tunaogopa kusema kwa kuwa Membe anao maadui 11 na wa kwanza Absalom Kibanda tunajua alichokipata, wapili afisa ubalozi wa Libya "alijinyinga", Tusijekuwa wa 12.

RIP Muamar Ghadaffi

mbona lowasa yeye maadui zake ni watanzania wote kwa jinsi alivyoFISADI ni kheri ya rais mtarajiwa Membe maadui zake ni 11 tu.
 
Kwa hili la NAF Beach Membe anasingiziwa .....hutaki unaacha .....sina maslahi na Membe .....
 
Mnanishangaza sana.Taarifa tulizonazo ni kwamba Shebby alijenga hoteli kwa mkopo wa Crdb na pato lake la udalali wa zao la korosho.
 
mbona lowasa yeye maadui zake ni watanzania wote kwa jinsi alivyoFISADI ni kheri ya rais mtarajiwa Membe maadui zake ni 11 tu.

Acha uongo kila Mtanzania anampenda low asa mmjaribu kumchafua mmeshindwa
 
Back
Top Bottom