Membe: Nchi hii inahitaji majasiri kama mimi

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuwa huu ni wakati muafaka kwa Benard Membe kujiunga na chama hicho ili kuunga harakati za kuhami demokrasia
Ukiona chama kinabembeleza na kumlilia mtu ajiunge nacho ujue humo kuna tatizo kubwa sana la kufikiri
Viongozi wa ACT wameonekana hadharani wakimlilia.jasusi Membe ajiunge nao wakidhani kwamba ana akili kubwa sana ya kuwavusha kuliko wanachama walio nao
Zitto amesimamisha.kabisa mchakato wa kuchukua.fomu wakimsubiri Membe wampitishe,Membe akili yake ipo Chadema,chadema.nao bado wanasita wakiogopa ya 2015
 
Ukiwaza utahisi kuwa Ccm wanataka vyama viungane, membe agombee ili anogeshe uchaguzi ila wao washinde.
 
Kama ni kiwewe cha urais basi huyu mtu ni wa kuogopa kama ukoma. Nimecheka hadi basi. Membe anadai ni jasiri na special kuliko Lowasa. Membe anasema anajua anapendwa na watu kwa sababu anaona mtandaoni. Wajameni, ni mtandao gani huo tusio soma sisi wengine mbali na matusi yanayo poromoshwa kwake kila jina lake linapojitokeza? Anataka eti grand coalition ya vyama vya upinzani ndo akachukue form! Kama Membe unajiamini unamvuto na kupendwa sana kiasi hicho unahitaji coalition ya nini? Huo ndo ujasiri? Simply, wewe ni chizi kweli. Siyo bure.
Membe ni useless!
Mimi nilifikiri anapendwa kiasi kwamba hata akisimama kama mgombea binafsi anashinda!

Halafu kumbe eti mitandaoni ndio reference ya kukubalika kwake?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
10 Julai 2020

Siasa za Tanzania na uchaguzi 2020. Kipindi cha Mwandishi wa habari mahiri, mwanadiplomasia na Mwanasheria wa Mahakama Kuu ndugu Jenerali Ulimwengu anazungumza na Bernard Membe.

Baada ya leo Halmashauri Kuu ya CCM ikiwa imeunga mkono kufukuzwa uanachama toka CCM siku ya Jumatatu 13 Julai 2020 Bernard Membe atarudisha rasmi kadi ya chama cha CCM na hivyo Membe amekubali kuvuliwa kwake uanachama.

Endelea kusikiliza mahojiano kuhusu kinachofuata baada ya kutimuliwa rasmi na yeye kuafiki kuwa nje ya CCM . Agusia idara za Usalama hushauri vyema lakini viongozi wanasiasa hawatilii maanani ushauri huo mzuri wa idara.

Bernard Membe anasema WanaCCM wengi katika kupiga kura hawataunga "Juhudi za Maendeleo ya Vitu" bali watapiga kura kuungana na wengine kuchangua wale wa upande wa sera za Maendeleo ya Watu.

Source: Jenerali Online
Kwani alikuwa ktk serikali hii kama kiongozi mwandamizi miaka yote hiyo amefanya nini au ujasiri unaanza Leo baada ya kupigwa chini.

Aache kupotosha,watu wana akili zao,hii nchi si yake ni ya watanzania,muda wake umepita,aache wengine nao wafanyie kazi nchi.

Membe anawaponza watu wengine wasiaminike,kisa ni ukaribu,anaporopoka ropoka kwamba kuna watu wangu huko wananipa habari,atawaponza watu wa jirani yake.

Ni Mimi
Stesheni
 
Huelewi hata maana ya wakisemacho. Wanaposema vitu wanamaanisha vitu vinavyohusiana na maisha ya watu hao moja kwa moja.
Huwezi kujisifu kuwa una mindege imepaki airport wakati watoto wanakaa chini madarasani au wanahuduma mbovu za afya kwa kukosa vifaa tiba.
Huwezi kujisifu reli ya SGR wakati wananchi wanakunywa maji kutoka mabwawa wanayotumia na ng'ombe.
Hakuna akataaye maendeleo ya vitu vinavyo husiana na maisha ya watu hao, hata katika familia ni upumbavu kumiliki Range vogue ilihali watoto unashindwa kuwalisha vyema na kuwasomesha.
Wewe pia ni lipumbavu,
Hiyo midege ndio itakuletea hela za kujengea hayo madarasa!
Hiyo mi SGR ndio itakusababishia mtiririko wa hela itakayosababisha uwape watoto wako elimu, afya nk.

Hivi kwenye famili yako ukiwa na hela utasema chukueni mkanunue nyam mle mshibe badala ya kujenga nyumba ya kupangisha ili iwaingizie hela itakayowafanya wale nyama kila siku?

Hoja zenu ni useless kabisa! Hivi hivyo vitu ulivyoanisha hapo vimepotea baada ya Magufuli kuanzisha hiyo miradi?
 
10 Julai 2020

Siasa za Tanzania na uchaguzi 2020. Kipindi cha Mwandishi wa habari mahiri, mwanadiplomasia na Mwanasheria wa Mahakama Kuu ndugu Jenerali Ulimwengu anazungumza na Bernard Membe.

Baada ya leo Halmashauri Kuu ya CCM ikiwa imeunga mkono kufukuzwa uanachama toka CCM siku ya Jumatatu 13 Julai 2020 Bernard Membe atarudisha rasmi kadi ya chama cha CCM na hivyo Membe amekubali kuvuliwa kwake uanachama.

Endelea kusikiliza mahojiano kuhusu kinachofuata baada ya kutimuliwa rasmi na yeye kuafiki kuwa nje ya CCM . Agusia idara za Usalama hushauri vyema lakini viongozi wanasiasa hawatilii maanani ushauri huo mzuri wa idara.

Bernard Membe anasema WanaCCM wengi katika kupiga kura hawataunga "Juhudi za Maendeleo ya Vitu" bali watapiga kura kuungana na wengine kuchangua wale wa upande wa sera za Maendeleo ya Watu.

Source: Jenerali Online

Ngoma inogile. La muhimu hapo amekubali kufukuzwa. Kugombea ni haki ya kikatiba ila kushinda ni neema. Tunamkaribisha Tadea chama cha merehemu Kambona.
 
bagamoyo,

MH.MWENYEKITI MAGUFULI

Kuhusu Abdulrahman Kinana amekiri MAKOSA yake,kujutia na kuomba msamaha,kwa hiyo wajumbe TUMSAMEHE TUSIMSAMEHE?!!

WAJUMBE WA NEC

Tumsameheeeeee

MH.MWENYEKITI

Yule mwingine hakuomba msamaha na CHAMA kimemfukuza rasmi,wajumbe mnasemaje

WAJUMBE WA NEC

Afukuzweeeeeeeeee

Imeishaaaai iyoooo

TWENDE NA MAGUFULI KIUNZI CHA 2020
TWENDE NA DR.HUSSEIN MWINYI KIUNZI CHA 2020.

Siempre siempre CCM
Hasta la Victoria CCM
Aluta continua CCM
VIVAAAAAAA
Over
 
10 Julai 2020

Siasa za Tanzania na uchaguzi 2020. Kipindi cha Mwandishi wa habari mahiri, mwanadiplomasia na Mwanasheria wa Mahakama Kuu ndugu Jenerali Ulimwengu anazungumza na Bernard Membe.

Baada ya leo Halmashauri Kuu ya CCM ikiwa imeunga mkono kufukuzwa uanachama toka CCM siku ya Jumatatu 13 Julai 2020 Bernard Membe atarudisha rasmi kadi ya chama cha CCM na hivyo Membe amekubali kuvuliwa kwake uanachama.

Endelea kusikiliza mahojiano kuhusu kinachofuata baada ya kutimuliwa rasmi na yeye kuafiki kuwa nje ya CCM . Agusia idara za Usalama hushauri vyema lakini viongozi wanasiasa hawatilii maanani ushauri huo mzuri wa idara.

Bernard Membe anasema WanaCCM wengi katika kupiga kura hawataunga "Juhudi za Maendeleo ya Vitu" bali watapiga kura kuungana na wengine kuchangua wale wa upande wa sera za Maendeleo ya Watu.

Source: Jenerali Online

Membe kapoa sana. neither charismatic nor inspiring kabisaaa!

opposition wakimchukua huyu, watakuwa wameramba garasa baab kubwa.
 
Well said.
Nimesikiliza mahojiano yote. Amejibu maswali aliyoulizwa vizuri sana. Kungekuwa na mjadala kwenye uchaguzi wa Tanzania Magufuli angeangukia pua. Hata uwanja wa uchaguzi ungekuwa tambarare, katika kampeni za kwenye majukwaani Membe angemshinda Magufuli vibaya sana.
 
10 Julai 2020

Siasa za Tanzania na uchaguzi 2020. Kipindi cha Mwandishi wa habari mahiri, mwanadiplomasia na Mwanasheria wa Mahakama Kuu ndugu Jenerali Ulimwengu anazungumza na Bernard Membe.

Baada ya leo Halmashauri Kuu ya CCM ikiwa imeunga mkono kufukuzwa uanachama toka CCM siku ya Jumatatu 13 Julai 2020 Bernard Membe atarudisha rasmi kadi ya chama cha CCM na hivyo Membe amekubali kuvuliwa kwake uanachama.

Endelea kusikiliza mahojiano kuhusu kinachofuata baada ya kutimuliwa rasmi na yeye kuafiki kuwa nje ya CCM . Agusia idara za Usalama hushauri vyema lakini viongozi wanasiasa hawatilii maanani ushauri huo mzuri wa idara.

Bernard Membe anasema WanaCCM wengi katika kupiga kura hawataunga "Juhudi za Maendeleo ya Vitu" bali watapiga kura kuungana na wengine kuchangua wale wa upande wa sera za Maendeleo ya Watu.

Source: Jenerali Online
MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA.
 
Membe ni jembe hata kwa sura anatuvia kuliko ile balaa yetu
 
Kama ni kiwewe cha urais basi huyu mtu ni wa kuogopa kama ukoma. Nimecheka hadi basi. Membe anadai ni jasiri na special kuliko Lowasa. Membe anasema anajua anapendwa na watu kwa sababu anaona mtandaoni. Wajameni, ni mtandao gani huo tusio soma sisi wengine mbali na matusi yanayo poromoshwa kwake kila jina lake linapojitokeza? Anataka eti grand coalition ya vyama vya upinzani ndo akachukue form! Kama Membe unajiamini unamvuto na kupendwa sana kiasi hicho unahitaji coalition ya nini? Huo ndo ujasiri? Simply, wewe ni chizi kweli. Siyo bure.
Kamanda BMC hoyeeeeeeee!
 
Ni kweli lkn amuombe radhi kwanza mmiliki na mungu wa ccm alafu agombee 2025
 
Membe ukimpa nafasi ya kumsikiliza, jamaa anajua kupangilia point
Yuko vizuri sana kichwani.
Huyu Jamaa akiwa rais atatufaa sana
 
11 Julai 2020
Dodoma, Tanzania

MIZENGO PINDA : BERNARD MEMBE NI RAFIKI YANGU / ATAKUA AMECHAGUA ENEO SAHIHI ZAIDI

Mizengo Pinda amkaribisha Membe kujaribu siasa upande wa pili
Source : Wasafi Media
 
Back
Top Bottom